Wadada acheni hii kitu

Unamwachia mungu yupi kwani? Dah, dunia ya leo ni shida, Mungu na zinaa wapi na wapi!!
 
Kutongoza mbona hata sisi tunafanya......
Kazi mlio nayo ni hii ya kuhonga ili mpate mnachotaka.....
Mademu wa siku hizi,pasua kichwa kabisa dadaangu. Mwanaume asitegemee kugegeda mzigo bila kumhonga. Na wako serious kabisa na pesa,hawangalii cha sura siku hizi
 
Hivi baba yako angeliwa pesa na mama yako halafu asipewe papuchi wewe ungezaliwa? Au kama hataki kwa nini ale pesa za watu? Wanawake msio na akili mnajisababishia matatizo wenyewe.
Mimi nimezaliwa ndoa takatifu pia bangi kumhonga mamangu huo ndio uanaume na urijali na babangu hawezi loga mwanamke kisa hela au ku force mapenzi, my daddy is not evil as you my dear. Ipo siku utapata mtoto wa kike afanyiwe hvo ku bleed daily kisa elfu kumi yako.
 
Tatizo ni kula hela kwa kutoa ahadi za uongo, kama alikua hataki kutoa nyuchi si angeacha kula hela za watu
Kwani lazima ukitoa hela akupe papuchi yake mliandikishiana kisheria juu ya Hilo?
 
Hivi mama yako angefanyiwa bleeding au dada zako binti yako ungefurahi, wanaume msio na hela mna roho mbaya sana

Kwahiyo kitendo alichofanya huyo mdada ni cha roho nzuri, cha kumtapeli hela kwa makusudi kaka wa watu cariha
 
Kwahiyo kitendo alichofanya huyo mdada ni cha roho nzuri, cha kumtapeli hela kwa makusudi kaka wa watu cariha
Huyo hajatapeliwa kwani alishikiwa bastola amupe hzo hela kwa lazima si ilikuwa kiherehere chake hicho!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…