Wadada acheni hii kitu

Mimi nikitaka changu kutoa sioni shida natenga kabisa fungu la kuhonga hadi nifanikiwe
Kwenye kuhonga kuna mawili lazima ujifunze, kuna kufanikiwa na kutofanikiwa. Usiwe na roho mbaya pale usipofanikiwa, kwani hata mwizi anamuomba Mungu ambae ni huyo huyo unaemuomba wewe usiibiwe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu mjumbe, unahamasisha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa ela upate ela sa mnatafta za nini kama roho inakuuma unapoitoa fidia mziachee ma brothers
 
Nilikuwa nadhani mnaojua kiinglish huwa hamchomi za Babu kumbe na nyie mpo eeeh?
 
Kwani na nyie wakaka Ina maana hamjui kutofautisha mtu anayekupenda na nayetaka hela zako?...a mnataka tuwape darasa Tena jamani?
Kuna watu wanaoana wanaishi miaka 20 ya ndoa ila mmoja hampendi mwenzake na asiyependwa hajui. Binadamu ni complex sana
 
Nakubali mzee wa kusafirisha vifurushi from town to maghettoni🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…