Kuna dada nilikutana naye mtaani nikaona anafaa kwa chakula. Nikamwomba namba nikawa nachati naye kama mwezi hivi nikaweka ombi langu akakubali. Issue ikawa kutoa mzigo kila mkipanga ratiba anarukaruka tu.
Kuna siku akawa na shida ya laki 1. Nikasema nampelekea bila ya taarifa dukani kwake. Nilipofika sikumkuta ila nilikuta wadada wawili. Nikawaambia naondoka akirudi mtampa taarifa. Ukweli sikuondoka nikatulia nje ila wao hawajui. Nikasikia " MASKINI HUYU KAKA ANALIWA HELA ZAKE NA MZIGO HATAPEWA"
Nilistuka nikiwaza hela niliyotoa ndani ya huo mwezi sio chini ya 80,000/=
Kimya kimya nikaondoka na laki yangu, 20000 nikachoma mbuz iliyobaki nikamtumia mama kijijini.
Tahadhari:
WANAUME WENGINE HELA YAO HAILIWI KIRAHISI. MIMI NIMEPOTEZEA ILA SIO KILA MTU ANAMWACHIA MUNGU. MTABAKWA AU MTAPIGWA MTUNGO AU KUFANYIWA KITU KIBAYA. USILE HELA YA MTU KAMA HUMPENDI.
Inaonyesha una experience ya kutosha.napata shida sana kuutambua umri wako...kwa muandiko wako huu wewe itakuwa ni kijana mdogo usie weza kutongoza wazee huwa awatoi pesa
Hii ni njia yangu ninayoitumia siku zote na huwa inafanikiwa mara nying ila mara chache sana inagomanapata shida sana kuutambua umri wako...kwa muandiko wako huu wewe itakuwa ni kijana mdogo usie weza kutongoza wazee huwa awatoi pesa
Noted!Siku nyingine kuwa makini mkuu , usitoe pesa kizembe
Atatoa sauti kama mwanafunzi wa IFMSasa siku akiingiza kwenye kumi na nane utakolezewa moto huo hadi utoe machozi
Cariha baby[emoji23][emoji23]
MamboCariha baby
Kha!kha!kha!.Atatoa sauti kama mwanafunzi wa IFM
I miss you too rafiki yangu mpenda churaRafiki angu wa mtandaoni hi![emoji2772][emoji2772][emoji2772] Am missing you so much
Mtu anaeipenda CCM hapaswi kuitwa babyCariha baby
Pouwaa! Mzima wewe?Mambo
Wewe unayo?I miss you too rafiki yangu mpenda chura
Tumwiteje mkuu?Mtu anaeipenda CCM hapaswi kuitwa baby
Tumwite mpinga maendeleoTumwiteje mkuu?
KKuna mmoja hapa jirani alishawahi pigwa mtungo kwa mambo kama haya
Ukweli mtupuMimi ndio maana huwa staki hela ya mtu maana kupeana hvo mtu si Bora akanunue machangundoa ka huwezi kumpa msaada mpenzi wako Bora kila mtu afanye yake