Michelle long time not see ya ....Comparison is the thief of Joy....maisha ya kujilinganisha na fulani ndo maana wanakuwa na visirani....na wanatoa nafasi ya watu kuwaumiza kwa masengenyo....wanasema kill them with happiness. lakini wakiendelea kuwa watu wa kulalamika,wanyonge na kuona kama kutokuolewa ni aina fulani ya ulemavu au laana na kuwa desperate wataishi kwa taabu sana. Ukweli utabaki kuwa kuna vitu haviko ndani ya uwezo wako,huwezi lazimisha mtu akuoe au aone unafaa kuwa mke,ukifanya hivyo una utumwa wa maisha,kufurahisha dunia kumbe ndani unaungua..kaa karibu na Mungu wako na mwambie mapenzi yako yatimizwe,unipe furaha kwa lile ninalodhani nalihitaji ila hujanijibu kwa kuwa sababu waijua wewe.
Usijiulize nilipanga? kwa ufupi ni machache sana unayopanga,hukupanga kuzaliwa,kuwa mwanamke,kuwa na elimu uliyonayo,kuwa na mafanikio uliyonayo au hata mapungufu....acha kupoteza muda na maswali usiyoweza pata majibu mazuri, labda ujiulize mienendo yangu na tabia zangu zinawavuta watu sahihi kwangu? Ukimaliza muombe Mungu na urekebishe pale inapobidi the rest muachie Muumba wako aliyekujua hata kabla ya kutungwa tumboni kwa mama yako.
Last but not least....bado unaishi...subira na moyo wa shukrani kwa mazuri uliyonayo itakupa amani. Usiishi kuhesabu uliyokosa tu,tizama Mungu aliyokupa.
Comparison is the thief of Joy....maisha ya kujilinganisha na fulani ndo maana wanakuwa na visirani....na wanatoa nafasi ya watu kuwaumiza kwa masengenyo....wanasema kill them with happiness. lakini wakiendelea kuwa watu wa kulalamika,wanyonge na kuona kama kutokuolewa ni aina fulani ya ulemavu au laana na kuwa desperate wataishi kwa taabu sana. Ukweli utabaki kuwa kuna vitu haviko ndani ya uwezo wako,huwezi lazimisha mtu akuoe au aone unafaa kuwa mke,ukifanya hivyo una utumwa wa maisha,kufurahisha dunia kumbe ndani unaungua..kaa karibu na Mungu wako na mwambie mapenzi yako yatimizwe,unipe furaha kwa lile ninalodhani nalihitaji ila hujanijibu kwa kuwa sababu waijua wewe.

Bas sawa...hw abt men?? Miaka mingapi ikipita na ss tunasemwa

Kulijibu hili swali jiulize je viwanda vingapi vya electronics au "call centres" ngapi zimeletwa africa badala ya india, pakista au china?, Je mnajua kuwa asilimia 80 ya mipira ya world cup inatengenezewa pakistani? Kwanini Computer Programmers wengi wanatoka India na pakistani??
Swali lingine ni kuwa si mmesikia kimbembe cha hao vijana wa kitanzania Marekani na wizi wa mamilioni?? Sasa basi Uingereza ni ni hivyo hivyo, Sauzi (Sauth Africa) ni vivyo hivyo nk.
Tukipata majibu ya maswali hayo tutajijibu wenyewe na kuelewa kwanini mambo hayo yanafanyika.
Long time Eiyer...have been working,studying and doing research in different places.
Hope you are doing well,good to see you here!
Hivi siku hizi unaweza doing research in different places? na siyo reseach at a specific point/place/focus?