Wachungaji watatu mapumzikoni

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
[h=6]Kuna wachungaji watatu..siku moja waliamua..kwenda mapumzikoni..
wakiwa mapumzikoni...wakamua kwenda fishing..wakiwa huko..Mchungaji mmoja..akawambia wenzake.."jamani pamoja na kupreach kwetu...leo mimi naamua kuongea ukweli..ili mniombee wenzangu..mimi na tatizo na kuchukua sadaka waumini wangu wanapotoa..zamani nilikua naiba kidogokidogo lakini siku hizi..nimez...idisha sana..naomba mniombee wenzangu...Mchungaji mwengine akadakia kabla hatuja kuombea..na mimi na jambo nataka..nilisema..mimi wenzangu natatizo lakuchukua wanawake kanisani kwangu...nilianza na amabao hawaja olewa lakini siku hizi mpaka wake za watu..niombeeni wenzangu..Mchungaji wa tatu yeye akawambia wenzake kabla hatujaombeana..mimi pia na tatizo wenzangu..kila nikisikia neno..lazima ni waambie watu siwezi kutunza siri kabisa..na hata nilipo hilo tatizo limekuja..naondoka siwezi kukaa..bora nikaongea ili nimalize hili tatizo! duh!!!!!!![/h]
 
Mmmh hao wachungaji 2 mwisho wao umefika! Labda wamtose mwenzao baharini maana kuumbuka kunawahusu.
 
Back
Top Bottom