Wachungaji wa siku hizi pesa mbele kwa sana

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
MCHUNGAJI : nasema pepo toka ktk jina la yesu!!.
PEPO : sitoki!!
MCHUNGAJI : Shindwa pepo,toka na mwache huyu
mtumishi wa mungu!
PEPO : Sitoki,nimemwingia huyu mtu ili ashinde bahati nasibu ya milioni 100! MCHUNGAJI : Toka
pepo,nasema toka haraka na uingie kwangu mara
moja!
 
Back
Top Bottom