Wachungaji wa kilokole hawana umoja kabisa

Wachungaji wa kilokole hawana umoja kabisa

YAANI just kwa kuangalia sakata la gwajima, na inavyosemekana leo ameambiwa aende akalete hati ya usajili wa kanisa lake, hiyo wanamfanyia psychological torture mbaya sana na wanataka kumpoteza mapema kabisa afe kabisa.

Ajabu yake ni kwamba, wachungaji wenzie wa makanisa ya kilokole na hayo sijui ya CCT na mengine sijui majina, hawana umoja kabisa wamemwacha gwajima anapambana peke yake wakati wakiwa kwenye mikutano yao hiyo walikuwa wote pamoja.

Hata Arusha walikuwa wote pamoja lakini hapo wamemwacha peke yake apambane peke yake. nilichokuwa nategemea ni kwamba hawa wachungaji wangejaribu ku reconcile na serikali ili suala hili liishe kwa amani kwasababu hakuna ubishi kwamba wakristo wengine tunahisi kuwa christianity is being attacked here, na wengi wetu tumeshasali sana pale kwa gwajima na serikali tunaona inatuumiza mioyo.

Ninajua hata kama hawatasema chochote lakini kitakachotokea kwenye kura mwaka huu itakuwa siri ya CCM.

Pengine suala hili ni mpango wa Mungu ili walokole wote wapige kura upinzani kwasababu ukristo unanyanyaswa hapa, walokole tunanyanyaswa.

Ulitaka wafanyeje? Waandamane ili wewe uwaone wako pamoja? Pole.
 
Umoja upo ila tatizo wasaliti ni wengi sana, hata ivyo umoja bila Mungu ni kazi bure, bora uwe na Mungu kuliko umoja wa kinafki kama wa Pengo msaliti
 
Back
Top Bottom