Wachungaji/Mashehe feki wanatoa wapi nguvu za miujiza?

Wachungaji/Mashehe feki wanatoa wapi nguvu za miujiza?

Joined
Oct 25, 2021
Posts
98
Reaction score
100
Wanatibu wagonjwa walioshindakana, wanabadilisha maisha ya watu waliokata tamaa, wanafanya baishara za watu zinaongezeka thamani, wanakujengea kinga ya kukulinda na uovu..etc

Wanapata wapi huu uwezo.

Nini kinawapatia energy ya kuendelea ijapokuwa wanajua kuwa wao sio watumishi wa ukweli.

Karibuni tujulishane.

Pastor Silla Mshana Jr LIKUD Mathanzua GuDume Artificial intelligence na wengine wote
 
Hahahah i see.
Huo ndo ukweli usio na shaka.

Leo kwenye jamii yetu (hatahumu jf) wengi wanaenda kwa waganga wa jadi Kama Mshana Jr na Rakims kimya kimya na Tena kwa kujificha Sana.

Wengine wanapona kabisa,
Na hata wakipona wengine hawasemi wazi kua wameponywa kwa Nguvu za mizizi na matunguli ya bw. Mshana Jr au Rakims
Bali Wanasema sababu nyingine wanazozijua wao.

Ila leo Mshana Jr au Rakims waanzishe kanisa au msikiti huduma yao iendeee
Utaona Ni jinsi gani watu watakavofurika maelfu na maelfu.

Hamasa itatoka kila Kona maelfu na maelfu watatoa shuhuda zao hadharani Ni jins gani wameponywa.
 
Aisee...
 
Sio halisi ni feki, au unataka kujua miujiza feki wanatoa wapi?
Kuna wanaofanya miujiza kwelikweli na Kuna wanaofanya miujiza feki a.k.a magic tricks (mazingaombwe)

Kuna mmoja Yuko pale ubungo niliona anawafanyizia waumuni wake yale mazingaombwe tulokua tunafanyiwa ya shule ya msingi ya kubadili karatasi na nyasi kua pesa za noti.

Basi nikaangalia watu wanavoshangaa na kumwagia misifa,
Nikaishia kucheka saaaa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahah..
 
Joka juu ndiye anayewapa huo uwezo . Joka huwa anatapika Maji kuyaleta Dunian huwa wanahubiri mafanikio, Baraka, utajiri .
Ogopa sana Bwana ni mtakatifu hakuna kiovu wala kinyonge kitakacho ingia kwenye ufalme wake
 
Soma wakorinto wa kwanza, sura ya 12,

Karama Za Roho Mtakatifu​

12 Sasa kuhusu karama za Roho Mtakatifu ndugu zangu, sipendi mkose kufahamu. 2 Mnajua kwamba mlipokuwa hamumjui Mungu mlivutwa na kupotoshwa na sanamu bubu.

3 Kwa hiyo napenda mfahamu ya kuwa hakuna mtu anayeongozwa na Roho wa Mungu anayeweza kusema, “Yesu alaaniwe.” Pia hakuna mtu awezaye kukiri, “Yesu ni Bwana,” isipokuwa ameongozwa na Roho Mtakatifu. 4 Basi kuna aina mbalimbali za karama, lakini Roho ni mmoja. 5 Pia kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana ni mmoja. 6 Kisha kuna aina tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mungu yule yule anayeongoza kazi zote kwa kila mtu. 7 Roho Mtakatifu hudhi hirishwa kwa kila mtu kwa faida ya wote.

8 Maana mtu mmoja hupewa neno la hekima na huyo Roho, na mwingine hupewa neno la ufahamu kutoka kwa Roho huyo huyo. 9 Mtu mwingine hupewa imani na huyo Roho na mwingine karama za kuponya. 10 Huyo huyo Roho humpa mwingine uwezo wa kufanya miujiza, mwin gine unabii, mwingine uwezo wa kutofautisha kati ya roho mbalim bali, mwingine aina za lugha na mwingine uwezo wa kutafsiri lugha. 11 Lakini ni Roho huyo huyo mmoja anayefanya haya yote, naye hugawa karama kwa kila mtu, kama yeye mwenyewe apendavyo.
 
Back
Top Bottom