Wachungaji baadhi yenu mnakera

Mwanamke ni kiumbe rahisi kupigika sound. Ukilegea mchungaj atamtmba kabisa ili amshikilie vyema zaidi.
Kuna kisa nilisikia redioni mchungaji amezalisha wanawake kibao. Na wengi ni wake za watu. Kumbe behind the scene ni mshirikina akitumia nguvu yake ya uchawi mume anamsindikiza mkewe kwa baba mchungaji. Pepo kama hilo linikome [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na likukome kweli.
 
Kuna mahali waliponiuliza "umewahi kubatizwa kwa maji mengi?" basi ndio wakawa wamenifukuza jumla jumla.
 
Nasadiki kwa kanisa moja, Takatifu katoliki la mitume.
Naungama na ubatizo mmoja wa amaondoleo ya dhambi, nangojea ufufuko wa wafu na uzima wa milele ijayo...

huku kwingine kunachoshaga maswali jamani
 
Ukristo sio dini, iweje utoke hapa ukasali sehemu tofauti ukaulizwe?
Dini ya kweli hii uislam unatoka hapa tz unaensa nchi yoyote unaingia msikiti wowote unapiga zako ibada unaondoka, hakuna mtu ataanza kukuhoji wewe dhehebu gani unasali wapi.
Ni kwelo kabisa ukristo siyo dini ila imani katika Bwana Yesu.
Ila suala la waislam kuswali msikiti wowote nalo siyo kweli.Iraq Suni wanalipua Misikiti ya Shia n.k.
 
Nakumbuka maza angu mkubwa alipewa uzee wa kanisa. Watakuwa walikuwa wanamvuna haswa na ukaribu aliokuwa nao na yule mchungaji sina shaka alikuwaga anamgonga kabisa.

Maana mchungaji alikuwa kitu special sana yani. Nshapeleka sana bahasha kwake.
Daa wewe kwani hukutaka kuwa na bamkubwa mchungaji?
 
Kwa hiyo hujaokoka
 
Ni kwelo kabisa ukristo siyo dini ila imani katika Bwana Yesu.
Ila suala la waislam kuswali msikiti wowote nalo siyo kweli.Iraq Suni wanalipua Misikiti ya Shia n.k.

Aliyekuambia shia waislam ni nan? Mm nazungumzia waislam. Mashia ni makafiri kama nyie tu. Hata mimi siwezi kuswal nyuma ya maisha maana si waislamu
 
Tatizo lakuwa na karibu na kanisa halafu liwe jipya na halina watu wengi, kufatana fatana mmm mimi hata kama naabudu hapo maswala yakunifuata nyumbani bila taarifa sitaki
 
Likome kweli, sasa ndiyo wakisoma hivi tutakuwa haturuhusiwi kwenda ibada.
 
Ukristo sio dini, iweje utoke hapa ukasali sehemu tofauti ukaulizwe?
Dini ya kweli hii uislam unatoka hapa tz unaensa nchi yoyote unaingia msikiti wowote unapiga zako ibada unaondoka, hakuna mtu ataanza kukuhoji wewe dhehebu gani unasali wapi.
Waislamu msione tu mkristo akilalamika kidogo hamkawii kuja na dini zenu, kwani umesikia mtoa mada anataka kuwa mwislamu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…