Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,871
- 7,610
Achana nao wataanza kuja kujitetea, siku nikichafukwa ntakuja na mada ndefu niwaumbue, nije na ushahidi juu kuthibitisha dini yao na majini ni kitu kimoja. Ila saiv sina mood ya kuchokoza dini za watu.Hapa ninapoishi kuna "maalimu" wa msikiti...
Lakini cha ajabu ni mganga wa kienyeji...
Wanakujaga watu wanataka maadui zao watupiwe majini...na huyo "maalimu" anafanya hivyo
Sasa mnakubalije kuswalishwa na waganga wa kienyeji huko misikitini kwenu. Maana nina ushahidi wa kutosha mashehe wenu wakubwa ni waganga wa kienyeji tena kuwazidi nyie waswalishwaji na sio kazi rahisi kusimama kuhubiria watu msikitini kama huna nguvu za kutosha za kichawi. Tena nawajua, na nyie mnakubalije kuswalishwa nao kama sio na nyie mnaabudishwa majini bila kujua. Tena hao mnaowaita maalim hao ndiyo waganga wakubwa kabisa ambao hata shetani mwenyewe akiulizwa una watu wangapi huko duniani lazima awataje hao maalim wenu. Kama mmaniweza nenda kawaambie nimewaita waganga waje kuniloga kama wataniweza.Huyo ni tapeli kama ambayo walokole wanatapeliwa na mitume na manabii wa kileo.
Katika uislam kuwa mganga wa kienyeji ni ushirikina ambao unamtoa mtu katika uislam kama anatumia majini,uchawi na n.k maana ili iwe uislam ni lazma kujitenga na ushirikina na washirikina.
Lakini hao majin makanisani ndio wamejaa na ndio mtaji wao wa manabii wakileo wenyewe wakiyaita mapepo. Sijui unanielewa
Vipi nyie mnajisikiaje kuwaita wakristo makafiri kisa mnatofautiana imani? Na aliyekuambia ukristo ni dini ni nani sisi tunajua maana halisi ya ukristo na tunajua ukristo sio dini. Hivi mpaka leo hujui dini ni kaburi la kumpeleka mtu Jehanum.Dhihaka iko wap hapo? Ama umeamua kutukana tu? Ndio unafundishwa na dini yako kumuita binadamu mbwa? Kisa mnatofautia imani? Mimi nipo sehemu salama, na uislam ni dini, kama ukristo ni dini nipe andika kutoka katika biblia inayosema " dini mbele ya mwenyezi Mungu ni ukristo"
Shia si waislamu?!Aliyekuambia shia waislam ni nan? Mm nazungumzia waislam. Mashia ni makafiri kama nyie tu. Hata mimi siwezi kuswal nyuma ya maisha maana si waislamu
Kama Ni kweli ...wanaroga..Alilogwa na mchungaji.
Nyie Majini mna waita Walimu...hopeless kabisa.Huyo ni tapeli kama ambayo walokole wanatapeliwa na mitume na manabii wa kileo.
Katika uislam kuwa mganga wa kienyeji ni ushirikina ambao unamtoa mtu katika uislam kama anatumia majini,uchawi na n.k maana ili iwe uislam ni lazma kujitenga na ushirikina na washirikina.
Lakini hao majin makanisani ndio wamejaa na ndio mtaji wao wa manabii wakileo wenyewe wakiyaita mapepo. Sijui unanielewa
Kwa hiyo wewe una subiri mto wa pombe na wanawake 70 wenye makalio futi 40?Naam, ndio sahihi
Kutoa fungu la kumi na sadaka ni utii.Duhh!hivi inakauje lakini?nnae rafiki yangu wamehama wanaishi mbaali sana lakini mchungaji hataki wahame kanisa anaishi mbaali sana almost 45k salary yake fungu la 10 anatoa km lilivyo acha sadaka nyingine!
Ukristo ni uhusiano kati ya MTU na Mungu.Dhihaka iko wap hapo? Ama umeamua kutukana tu? Ndio unafundishwa na dini yako kumuita binadamu mbwa? Kisa mnatofautia imani? Mimi nipo sehemu salama, na uislam ni dini, kama ukristo ni dini nipe andika kutoka katika biblia inayosema " dini mbele ya mwenyezi Mungu ni ukristo"
Usalama upo kwa Yesu kama Yesu tu ndugu. Hata huko usalama sifuri.Nasadiki kwa kanisa moja, Takatifu katoliki la mitume.
Naungama na ubatizo mmoja wa amaondoleo ya dhambi, nangojea ufufuko wa wafu na uzima wa milele ijayo...
huku kwingine kunachoshaga maswali jamani
So unakereka nini?kama mungu wenu ameweka hivyo vifuniko kwenye macho na mioyo?unataka washindane na mungu wenu?Exactly, hila Mungu ameweka vifuniko kwenye macho yao na mioyo yao,hawalioni hilo wakristo
Mna matatizo makubwa sana. Hiyo dini ya kweli hamuelewan nyie kwa nyie na wote mnajiita waislamu..We kuwaita waikristo makafiri lishazoeleka hilo,wala hawawawazi.kweli uislam dini ya amani.Aliyekuambia shia waislam ni nan? Mm nazungumzia waislam. Mashia ni makafiri kama nyie tu. Hata mimi siwezi kuswal nyuma ya maisha maana si waislamu
Shia si waislamu?!
Sijui huko mwengine..ila nimeona znz..
Misikiti wanaswali madhehebu tofauti na hawaingiliani.. ..
Snashir haswali na Sunni .. na Ibaadh hachanganyiki..nk
Kila mtu na dhehebu lake..
Agaghan..ndio kabisa .. ...