Wachumba wa mitandaoni.

Wachumba wa mitandaoni.

tian

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2007
Posts
1,770
Reaction score
538
Nimekuwa nikijiuliza hivi mahusiano na mtandaoni huwa yana matunda kweli?Kama mitaani imeshindikana huku inawezekana vipi??Mashuhuda watujuze tafadhali.
 
Mahusiano ya mahali popote yanategemea na wahusika wenyewe. Hata mkae nyumba moja yanaweza yasidumu vilevile
 
Mi tunda langu la humuhumu mtandaoni mpaka hivi sasa tunaishi vizuri sana....na isitoshe nimkuta akiwa bikra
 
Jamani simu yangu haina kitufee cha like kumetokeaa ninii???au ndio wanataka kuweka cha dislikee
 
Mahusiano ni yale yale kilichobadilikani kijiwe tu cha kukutania...
 
6 out of 10 ndoa za marekani wamepatana na kuonana mtandaoni(social networks)
 
Back
Top Bottom