Wachoraji,washauri na wajenzi wa nyumba

Wachoraji,washauri na wajenzi wa nyumba

busaraitumike

New Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Del Benman(T)ltd ni kampuni yenye Architects,Civil & Electrical Engineers na Quantity Surveyors ambao wanatoa huduma za Archtectural designs,structural designs,electrical designs,cost estimates(BOQ) na Construction za Majengo,landscaping,and roads tupo Mtaa wa Kamata Kariakoo kwa mawasiliano zaidi piga +255 714 498877 au +255 714 439 629
 
sidhani kama sheria zetu zinaruhusu uwe consultant, at the same time uwe contractor,,,,, soo nyie mmebase sana upande upi???
 
sidhani kama sheria zetu zinaruhusu uwe consultant, at the same time uwe contractor,,,,, soo nyie mmebase sana upande upi???

nadhani hawa ni contractor,ila wamejiorganise watu wenye taaluma za maeneo tajwa so wakuwa ni design and build,japo kazi ya consultant hawaifanyi wao.nadhani pia wanafaham sheria coz kwa board za ujenzi i.e aqrb na erb haziruhusu hata hizi promo au mabango so hawa ni wakandarasi.
 
I was luking 4help on one o two of th works mention hapo juu...I realy need a 4bedroom house...Pls
 
I was luking 4help on one o two of th works mention hapo juu...I realy need a 4bedroom house...Pls

help ya aina gani mkuu,ni kujenga?kuchora ramani,kufanyiwa makadirio ama vyote?
 
Mimi nataka extreme house yaani ambayo ni ya kipekee kabsa bana,so hebu wekeni michoro yenu hapa ya mnavyofikiri hiyo nyumba ya kipekee inaweza kuwa ,ni concept tu mazeee
 
Mimi nataka extreme house yaani ambayo ni ya kipekee kabsa bana,so hebu wekeni michoro yenu hapa ya mnavyofikiri hiyo nyumba ya kipekee inaweza kuwa ,ni concept tu mazeee

Mkuu hiyo ni ngumu but sorry kwakuwajibia ila nadhani ungesema mahitaji yako ili jamaa wayafanyie kazi mkuu!
 
Back
Top Bottom