Wachora katuni mnakikosea kichwa cha Magufuli

Aliyekuambia Huyo Ni Magufuli Nani? Usitafutie Watu Kesi
 
Mimi nimependa jinsi ka Magufuli kanavyokaangika kwenye moto wa mabua!!
 
Nimekuwa nikiangalia katuni za magazetini tangu mchakato wa uchaguazi mkuu uanze naona wachora katuni wengi wanakikosea kichwa cha Magufuli.

Sijajua kama ni makusudi au ni maswala ya kiufundi naweka mfano
11924231_392199300989320_5969565421539557502_n.jpg

Haha hii nchi ukiwa mwana inatosha kabisa
 
Nimekuwa nikiangalia katuni za magazetini tangu mchakato wa uchaguazi mkuu uanze naona wachora katuni wengi wanakikosea kichwa cha Magufuli.

Sijajua kama ni makusudi au ni maswala ya kiufundi naweka mfano
11924231_392199300989320_5969565421539557502_n.jpg

We vumilia tu utazimika kesho asubuhi endelea kukaangika tu.
 
Nimekuwa nikiangalia katuni za magazetini tangu mchakato wa uchaguazi mkuu uanze naona wachora katuni wengi wanakikosea kichwa cha Magufuli.

Sijajua kama ni makusudi au ni maswala ya kiufundi naweka mfano
11924231_392199300989320_5969565421539557502_n.jpg

Mdukuzi hawa wachoraji hawajakosea; hiyo ndio kanuni yenyewe ya hii sanaa ya cartoon. Katika huu mchoro kichwa na kidevu vimetiwa chunvi kwa kufanywa vikubwa ili kuongeza vionjo. Mchoro/picha kama hii inaitwa caricature.
 
Nimekuwa nikiangalia katuni za magazetini tangu mchakato wa uchaguazi mkuu uanze naona wachora katuni wengi wanakikosea kichwa cha Magufuli.

Sijajua kama ni makusudi au ni maswala ya kiufundi naweka mfano
11924231_392199300989320_5969565421539557502_n.jpg

Hahahahahahahaaa! Nimecheka Sana Yaani Nimefurahi Aisee
 
Back
Top Bottom