Wachora katuni mnakikosea kichwa cha Magufuli

Wachora katuni mnakikosea kichwa cha Magufuli

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,312
Reaction score
55,973
Nimekuwa nikiangalia katuni za magazetini tangu mchakato wa uchaguazi mkuu uanze naona wachora katuni wengi wanakikosea kichwa cha Magufuli.

Sijajua kama ni makusudi au ni maswala ya kiufundi naweka mfano
11924231_392199300989320_5969565421539557502_n.jpg
 
nimekuwa nikiangalia katuni za magazetini tangu mchakato wa uchaguazi mkuu uanze naona wachora katuni wengi wanakikosea kichwa cha magufuli sijajua kama ni makusudi au ni maswala ya kiufundi naweka mfano
11924231_392199300989320_5969565421539557502_n.jpg

Kwan kidevu wanakipatia Mkuu???
 
Mtoa thread bwana... Nia na madhumuni ni kuipost hio picha na tuisome. Haha sawa umesomeka kiongozi
 
Hahahaha nimecheka sana.
Aliyepost anamaanisha take katumia tafsida kufikisha ujumbe
 
ukiangalia vizuri....kati ya wagombea wawili kuna mmoja anachorwa vizuri na mwingine vibaya....
 
Back
Top Bottom