wachina watatuua sasa tusipokuwa makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wachina watatuua sasa tusipokuwa makini

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Original Pastor, May 2, 2011.

 1. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  STUNNING

  Manufacturing fake eggs
  In China there are fake schools and classes that teach a variety of blatant fraud technology, even eggs can be modulated by chemical materials, but also be able to fry cook, is currently the most popular False course.

  Step 1 modulation of raw materials

  Using 7 kinds of chemical materials, see pic below
  [​IMG]
  Fake egg was made from calcium carbonate, starch, resin, gelatin, alum and other chemical products.

  Step 2 egg production ​
  Raw egg into the mold to 2 / 3 full, put calcium chloride, colouring die, the egg appears on the film been announced.

  [​IMG]

  The 'yolk' is shaped in the round mould. 'Magic water' containing calcium chloride is used.

  [​IMG]

  By adding a yellow pigment and become raw egg yolk..

  Step 3 fake egg shape ​
  In the mold into 1 / 3 raw egg white, like the first package, like dumplings into the egg yolk, egg white into another, into the magic water, a shell eggs will come slowly. Naked egg shape to 1 hour to dry after washing with water, at shells ready.

  Step 4 ​
  Sewing lines through the use of eggs, immersed in paraffin wax, calcium carbonate, such as modulation of the eggshell into a solution, repeated several times until the shell a little dry, immersion in cold water pumping line shape, this point, the egg has been put on a false cloak , You're done.

  [​IMG]

  Hard shells are formed by soaking in paraffin wax onto the egg, which are then left to dry.

  [​IMG]

  [​IMG]
  Oh yeah The Egg is ready. The artificial egg shell is very fragile and break easily but who cares!!

  Look so real

  [​IMG]

  Many small bubbles is formed during frying the egg but not many people can tell the difference.

  The egg look exactly the same, and the eggs taste better than real but you are adding to the

  statistic of food poisoning person.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Why make fake eggs ?

  Because of money. ​
  The cost of fake egg is only 0.55 Yuan/kg, while the true [WINDOWS-1252? ]eggs’ market price is 5.6 Yuan/kg.

  Cases of problem foods and food poisoning are widely reported in Mainland China over the last few years.. In 2001, there were 185 cases of food poisoning, affecting about 15,715 people and causing 146 deaths. The cases doubled in 2002. In 2003, the number of reported cases was ten times more than that in 2001, and the number of people suffered was as high as 29,660, including 262 deaths Now In Sept 2008 Nearly 53,000 Chinese children sick from contaminated milk; 4 have died ​
   

  Attached Files:

 2. m

  mchafukuoga Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii kali ya mwaka.
   
 3. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,461
  Likes Received: 3,733
  Trophy Points: 280
  (IMO) WATANZANIA TUWE MAKINI NA TUWE FLEXIBLE KATIKA KUFIKIRIA
  wachina hawajali kama wanatengeneza kitu feki wala kitu original, kwa uzoefu wanadai kutengeneza vitu original havitengenezi hela, hivyo basi hata nchi hii ya china haijali ilImradi watu wanazalisha vitu wanachangia kiasi kikubwa katika GDP, kila eneo la china ukiachilia mbali guangzhou ambayo ndio moyo wa china unakodunda kwa uzalishaji, yaani kila eneo ni la moto, sasa basi , biashara zingnie kama uchukuzi(logistics) kodi mbalimbali, maonyesho ya biashara yote haya yanaijaza serikali hela, pia vitu hivi feki ambavyo tz na maeneo mengine ya africa wanatumia wachina wanatumia pia, hivyo hivyo kila mtu na kipato chake anatumia kutokana na uwezo wake, ili mradi kinafanana na kile ambacho wameiga,
  wafanya biashara wa kibongo pia wanaokuja china kununua vitu, pia wana mchango mkubwa katika kuleta vitu visivyo na ubora nchini, mbongo anakuja china kununua bidhaa na anatafuta vya chee, mchina haachi hela anakutengenezea kulingana na hela yako, huwezi kununua kitu cha 500 kwa 250, ni lazima akutengenezee kitu kulingana na hela yao, hebu fikiria ukitaka kununua hiko cha 500 pia nI vigumu kukutengenezea 100% je hicho cha 250 uliyomlazimisha apunguze bei je?
  angalieni pikipiki za mchina Tanzania, najua watz waliona pikipiki za san lg zinapendwa bongo, basi kila mtu anakuja huku anamwambia mchina amtengenezee pikipiki za san lg, matokeo yake bongo kuna SAN LG, ambayo ndio jina halisi ila Sijui kama ya ukeli au feki, pia utakuta SON LG, SUN LG, hizo zote zinasomeka (sani el ji) sasa kwa asiyejua ataamini ipi ndio ya ukweli hapo? lakini zote hizo zishafika bongo zimepita maeneo yote kuanzia huko zilikotengezwa mpaka sokoni tanzania na zipo mikononi mwa wateja, fanya analysis mwenyewe hapo, kuna siku nilimuuliza balozi mbona watu wanalalamika sana kuhusu hizi bidhaa feki na watu wanapotea mamilioni kununua wakifika bongo mnawachomea moto kwa kuwaambia ni feki hapo nani anaumia? balozi alisema ukuzuia bwana simu kibao kutoka nyumbani, WAKWETU HUYO BWANA MWACHIENI, du, nikasema kama wakuu wenyewe ndio wanalalamika kama mlala hoi,, basi mlala hoi kashadhalilika, hana wa kumlinda hata mmoja, watu aliowachangua wamlinde wanshindwa hata kujulinda wenyewe, kwa hiyo basi, ningependa kuwa waangalifu kwani hakuna mfanyabiashara yoyete clean, watu wanataka faida, china kuna bidhaa mbili ukienda popote pale utaulizwa unataka copy au origina? piece ngapi? kitu kingine nimekiona, movie za kibongo, hapo guangzhou zinauzwa utafikiri wameshoot hukuhuku, na za wanaigeria pia, yaani nadhani mtu anakuja china na cd moja akifika hapa anatengezeza nyingi anazirudisha huko bongo kwa bei chee, wasanii wetu wameuwa hapa, kwani hata wamarekani wnyewe hawaoni ndani, china ina mitandao kibao ya file sharing ambayo unaweza kudownload chochote bureeeeeeeeeeee, hizo apple apps ndio basi tena, wakisha jail break ipod, iphone au ipad, hakuna atakayenunua apps ktk app store, na watu hapa wameridhika kwani serikali yao pamoja na kuwa siyo ya kidemeokrasia lakini wananchi wamefanyiwa vitu ambavyo wanaweza kuona serikali yao inawajali kumbe ni mafisadi kuliko hata kwetu, usafiri, chakula, na huduma zingine zipo japokua wenye hela na wasio na hela pia wapo, china haina uchaguzi kama nchi yetu ambayo kila mtu mwenye umri kuanzia miaka 18 anaweza kumchagua kiongozi anayemtaka, huku wanakaa wawakilishi na kuchagua kiongozi wanaomtaka na kutangazia wananchi huyu ndio mwenyekiti wenu(hawaiti raisi huku) basi, viongozi wetu wasipo jitahidi kuhakikisha wachina wanaleta vitu vyenye ubora kama wanavyopeleka mataifa mengine ya ulaya na marekani, basi afrika litakua jalala, hao tbs na wakaguzi wa bidhaa zinazoingia nchini wawe serious, waatamaliza watanzania wenzao,
   
Loading...