Wachina Wanawinda Ndani ya Serengeti

Wachina Wanawinda Ndani ya Serengeti

Guys acheni ushindani wa kijinga. Huu ni ushindani wa kujinga kwa sababu kila Mchina atakalolifanya anaonekana kama ni adui bila kujiuliza nani kwenye dunia hii ni rafiki yetu? Tunasahau kwamba huyo tunayemuita kama baba wa taifa hajawai kuwagusa au kuwashutumu Wachina. Bangi gani mliovuta mpaka mkaanza kuwaona Wachina ni maadui zetu?

Natanguliza shukurani

You are idiot!Wakati wa Nyerere wachina walijenga reli ya Tazara!Hatukuwa na bidhaa feki,dumping of their inferior cheap stuff.Leo hii tuna mitumba ya baiskeli toka chini.Wakati wa Nyerere tulikua na baiskeli hasa,gazelle etc.

Pikipiki wamedump Tanzania ni chaotic sasa
 
shzmba la bibi hili..... Wacha watekelezr sera ya chama......CHUKUA CHAKO MAPEMA
 
Huwa napata hasira sana kila ninapoziona hizi takataka nyeupe huku uswahilini zilivyozagaa, huwa sioni faida yoyote juu ya uwepo wao. Tunaishi nao huku mtaan, ila wanakera ni wabahili mno mchaga kaongopewa!
 
tukikaa sawa kila mtu atatuchakachua na kila mtu tutamwona mbaya. any way, nani amesema wametumwa na beijing? nani amekuambia kati ya wachina bilion wote ni wazur?
 
robo tatu tunamchukia...hiyo robo moja ni wewe na wajinga wenzio

hiyo robo 3 ni ya wapi? yaani ukimchukia wewe basi imekuwa robo 3? wewe kweli taahira na mirembe panakuhusu.
 
Duuu hadi Kinana atoke kwenye system tembo wetu watakuwa wamekiona cha moto naona vijana wake wapo kazini
 
jamani tuwe tunaweka habari ya uhakika, unaweza kukuta wanafanya Video shooting, ona watu mlivyochangia negatively!
 
Ndo uzalendo huo tafuta picha lete apa then twaitoa front page kwa magazeti yote
Kisa raisi wao alikuja ndo iwe nongwa
Tanzania itakombolewa na mimi na wewe no one else mda wa kulalamika umekwisha sasa ni kuchukua hatua tu!
 
Na ujangili wa kuua Twiga sasa hivi ndiyo umeshika kasi sana maeneo ya loliondo hadi kuelekea lake Natron, wanao ua Tembo wanajulikana na sasa wameanza ua Twiga,,yaani kama watanzania hatutaking'oa hiki chama 2015 basi tujue kabisa kwenye hii nchi hatuna chetu...
 
Ikiwa habari hii ni kweli basi tuchukue hatua madhubuti kama wanavyowachukulia raia wengine wanaofanya uhalifu huko kwao, ikiwa ni pamoja na kupigwa risasi hadharani/au kuwapoteza tu huko huko msituni.
 
You are idiot!Wakati wa Nyerere wachina walijenga reli ya Tazara!Hatukuwa na bidhaa feki,dumping of their inferior cheap stuff.Leo hii tuna mitumba ya baiskeli toka chini.Wakati wa Nyerere tulikua na baiskeli hasa,gazelle etc.

Pikipiki wamedump Tanzania ni chaotic sasa

Kwani wachina wanawalazimisha kununua vitu feki? Nyie wenyewe mnakwenda kule mnachagua vitu vya bei raisi halafu mnategemea viwe na thamani? Narudia acheni ujinga wenu.
 
Wewe ndo tahira wa kufa hata mirembe hapakufai maana raisi aliyetuuza wote tukiwa nchi kwetu ndo tumpende kwa lipi? Mikataba 19 inasainiwa per day wananchi hawajui kinachoendelea. Hela za Swiss, EPA We are so tired with this preseda. Wazungu wananicheka kila ninaposema nimetoka Tz wanasema tukitaka ardhi tuu tunaenda Tz na vihela viduchu shame on us kila mahali tunajulikana tuu dhaifu. Viongozi dhaifu mambo dhaifu na wananchi tumeonekana wote dhaifu.
hiyo robo 3 ni ya wapi? yaani ukimchukia wewe basi imekuwa robo 3? wewe kweli taahira na mirembe panakuhusu.
 
Wewe ndo tahira wa kufa hata mirembe hapakufai maana raisi aliyetuuza wote tukiwa nchi kwetu ndo tumpende kwa lipi? Mikataba 19 inasainiwa per day wananchi hawajui kinachoendelea. Hela za Swiss, EPA We are so tired with this preseda. Wazungu wananicheka kila ninaposema nimetoka Tz wanasema tukitaka ardhi tuu tunaenda Tz na vihela viduchu shame on us kila mahali tunajulikana tuu dhaifu. Viongozi dhaifu mambo dhaifu na wananchi tumeonekana wote dhaifu.
wewe tatizo lako unaongozwa na hisia. hivi unajua hizo hela za epa aliziruhusu mkapa? unataka kuniambia kuwa hela zimeanza kwenda kufichwa uswisi kipindi cha kikwete tu? kipindi cha mkapa/mwinyi/nyerere watu hawakwenda kuficha hizo hela uswisi?
haya wewe unamtazamo gani juu ya uongozi wa mkapa ukicompare na wa kikwete kwenye haya
meremeta, mwananchi gold, radar, ndege ya rais, kiwira, BOT-eg liyumba, NBC, migodi ya madini kama huko kahama mining, anaben ,a mengine yanayofanana na haya.
nina mengi ila kwa kifupi tu nikuambie HEBU NITOLEE UTAAHIRA WAKO HAPA. NA MIREMBE PANAKUFAA SANA WEWE.
 
robo tatu tunamchukia...hiyo robo moja ni wewe na wajinga wenzio

ama kweli wewe ni taahira na huyo rais wako mnanemuita wa moyoni ambaye hawezi kuleta ushahidi hata wa pale karatu kwake kama aliongoza kwa kura?
sisi tuna rais aliyeko madarakani na mwenye mamlaka. mebaki kulalamika. endeleeni mpaka 2015. nahapo pia hamshindi ng'o labda sijui msubiri 2025
 
poleni mafisadi......mwisho wenu umefika

mtalalamika sana, lakini hamtaubadilisha ukweli kamwe kuhusu utekaji muufanyao hapa nchini. damu za mliowaua zinawatafuna. kuleni matunda ya kazi ya mikono yenu
 
Back
Top Bottom