Wachina wanatorosha madini yetu

Niliwahi kusimuliwa zamani kuwa wakati wanajenga reli ya Tazara walipora madini mengi sana bila sisi kujua.
 
Tuko bize na chanjo za J&J na Sinopharm kwanza na Tri 1.3...🤣
 
Nchi hii in wenyewe na wenyewe ni mafisadi, wakwepa Kodi na Wala rushwa...jihadhari Ndugu yangu kelele zako hazitasaidia
 
Wametorasha kilo mbili kaka mbona no kiasi kidogo Sana kwenye dhahabu au hauna taaarifa kamili million 280, kwa uwekezezaji wa dhahabu ni pesa ndogo sana
Hii ni ile iliyouzwa!! sijui kwenye mabegi yao waliondoka na mzigo kiasi gani!! na wemekuwa na utaratibu wa kubadirisha wafanya kazi kila mara!
 
Wametorasha kilo mbili kaka mbona no kiasi kidogo Sana kwenye dhahabu au hauna taaarifa kamili million 280, kwa uwekezezaji wa dhahabu ni pesa ndogo sana
Sio kilo mbili, kilo moja ina gramu 1000, na gramu moja inauzwa laki moja hadi laki na kumi, inategemea na ubora wa dhahabu! hivyo ni chini ya kg mbili.
 
Ndio uwajulishe sasa hao watendaji sasa
 
My Presdaa Magufulii

Forever in my heart huwa nakukumbuka sanaa kilasiku nakuwazaa Juu ya nchi yangu hii Kipenzi.

Tizama tangu udongo ukuchukue mpaka sasa hatuelewi chochotee dah...
Njaa inazidi wachina wana sombaaaaaa tena wanazoaaaa dah...

Any way huwenda sisi watu weusi hatuna chetu hapa Duniani wacha tumsubirie Muumba akatutie kibiriti kwenye moto wake alio tuandalia hata sie tunao teseka na Dunia yake hii iliyo jaa uzalimu wa kila ainaa.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Wachina ni Rafiki wa CCM.

Kwa hiyo acha wezi washikamane.

Awamu ya Tano ilishindwa kuidhibiti CCM na Wachina
Awamu ya Tano ilitumia mbinu zote kuua upinzani na kuifanya CCM kuwa chama dola. Mshirika mkuu wa CCM ni China miaka yote. Wachina wana roho Mbaya sana halikadhalika CCM.

Awamu ya Tano wachina Walipewa kipao mbele na kuonekana kuwa ni ndugu zetu kuliko Watanzania wenzetu wa vyama vya upinzani. Wachina walikua wanavalishwa mpaka T-shirt za kijani na kupanda majukwaani kugakikisha CCM inashinda . Kwa hiyo ni sawa tu wezi kushirikiana.

Mchina anatuibia kupitia mawakala wao wa CCM na serikali yake.

Wachina ni wabinafsi sana kama walivyo mawakala wao CCM.

Katiba mpya ni jawabu la kuondokana na haya makuwadi wa rasilimali zetu wanaojificha kwenye vyama vya siasa. Tujenge nchi imara inayeweka mbele maslahi ya Taifa na sio vyama. Tuwe na TSS na polisi inayoangalia maslahi ya nchi kama taifa sio maslahi ya CCM na watawala wanaopigania matumbo yao .

Madini yanaibiwa TSS wapo na polisi wapo a uhamiaji wapo na hawana taarifa za kiitelijensia. Lakini Bawacha wakiamka asubuhi na kufanya mazoezi ya kukimbia ,kwa haraka itelijensia inapata taarifa za uvunjifu wa amani kupitia T-shirt zilizovaliwa . Kwa akili hizi na vyombo hivi tutaibiwa mpaka Twiga na fisi alimradi pawa na Soko China .

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
mkuu, kua ww huya amini haya asemayo uyu jamaa??
 
Mkuu 'MNFUMAKOLE' tunaposema "tunafungua nchi' huku hatukuweka taratibu za kupambana na mambo kama hayo unayoyaelezea hapa, basi nchi linakuwa kama jalala hivi.
Umeeleza vizuri sana na kwa kweli inasikitisha sana kuona nchi yetu hii hatujifunzi lolote. Mambo haya kila mara yanapigiwa kelele, lakini inaeleweka tatizo lilipo, ni huko serikalini kwa idara zilizokabidhiwa majukumu ya kushughulikia mambo hayo. Jamaa wanaweka maslahi ya nchi yetu pembeni kwa maslahi yao binafsi.

Nina hofu sana huko tuendako hali itazidi kuwa mbaya zaidi. Magufuli alikuwa hafai kwa mambo mengi, lakini katika mambo kama haya ya kuonekana (hata kama angekuwa anaigiza) kulipigania taifa, katika eneo hilo wengi tulimkubali.
 
Itafika muda, tutaanza kuchukua sheria mkononi. kulinda rasilimali zetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…