Kwahiyo wewe ulivyofundishwa ni kwamba mtu akiongeaa ukweli basi ni amekosa maslai kwenye hilo jambo analoliongelea ukweli wake..?mleta taarifa hana kosa lolote na wala sijasema kuwa anakosa. mimi nimemuuliza swali tu full stop.
Nipo senkenke machimboni, Kuna wachina wamefungua mgodi wa kuchimba dhahabu, sasa wanawandanganya watendaji wa serikali kuwa, hawajaanza uzalishaji.
Wachina wanasema bado wanakusanya mchanga, kumbe walishaanza siku nyingi kuzalisha!! juzi Kati Kuna wachina walikuwa wanarudi China, waliondoka na dhahabu ya kutosha! ambayo walienda kuiuza dar kwa mhindi mmoja hivi!! dhahabu hio iliuzwa kws Tsh 280 million.
Pili Kuna wachina wanafanya kazi bila kuwa na vibali vya kufanya kazi nchini!! Wachina hawa wamekuwa wskiingia Kama watalii na kupotelea hapa nchini!!
Nazishangaa mamlaka!! hazilioni hili?wachina wanasafiri kwa gari kutoka dar hadi shelui bila kukamatwa njiani!? hili linafikilisha!!
Mara nyingi huwa wakienda watu wa uhamiaji pale mgodini, wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini, hutolewa hapo mgodini na kupelekwa maeno ya nkonkilangi na wakati mwingine hupolekwa ziwani doromon, inaonekana Kuna mkubwa huwa anajulisha!!
Leo nimeona Kuna watendaji ws serikali wamepita wakielekea mgodini, sijui Kama wanalijua hili!?
nimemuuliza swali mleta mada.Kwahiyo wewe ulivyofundishwa ni kwamba mtu akiongeaa ukweli basi ni amekosa maslai kwenye hilo jambo analoliongelea ukweli wake..?
NDIOKwahiyo wewe ulivyofundishwa ni kwamba mtu akiongeaa ukweli basi ni amekosa maslai kwenye hilo jambo analoliongelea ukweli wake..?
Ndio hapaswi kutoa taarifa inatakiwa aishi na kujali maisha yake.Wewe mtu ni wa ajabu sana, kosa lake huyu ni nini? Ina maana hapaswi kutoa taarifa kama hizi ili serikali ifanye kazi yake?
Jf mods, watu wa hivi wanaweza vipi kuendelea kuwa humu?
Yani ukisoma comments ndio unapata picha halisi hata huku mitaani hali ilivyo.Na hawa ndio watanzania ambao wengi wana ujinga kama huu na huu ni ujinga haswaa
Mtu anetoa taarifa kwa malengo mazuri kabisa dhidi ya wizi wa siri wa wageni dhidi ya rasilimali za taifa lakini wajinga na wasio nanuzalendo kama hawa wanaanza kukejeli kwakweli huu ni ujinga na kukosa uzalendo kwa taifa.
Ndio mkuu naweza kwenda. Tatizo hamjiaminiIla mkuu kosa la huyu mtoa taarifa ni nini? Mbona kafanya Jambo jema sana, wenye mamlaka wanapaswa kuchunguza Kama kweli waloshughulikie.
Wewe unaweza kwenda China na kufanya Kama wao wanavyofanya huku?
Tuna tatizo TanzaniaYani ukisoma comments ndio unapata picha halisi hata huku mitaani hali ilivyo.
Ndio maana hata wanasiasa wanabadilishana mavyeo na kuitafuna hii nchi jinsi wanavyotaka maana walishasoma akili zetu zilivyo.
Haiingii akilini mgeni anafanya uhujumu uchumi halafu mtu anatoa taarifa then watu wanamponda na maneno mengine kibao.
So sad!
Hii tabia ya watanzania kulalamika kila siku haitupeleki popote. Nchi hii ni yetu Mwenyezi Mungu katupa na raslimali zake zote za ardhi, misitu, maji, madini, wanyama pori, gesi ya asili, mapori ya hifadhi, n.k. Wachina wengi wamekuja hapa Tanzania kwa biashara za bithaa au huduma kama ujenzi, uchimbaji wa madini, utalii, au hata utalii, bila kusahau wachache waliooa na kuzaa hapa Tanzania. Tuna wajibu wa msingi wa kulinda raslimali zetu zote na siyo kulalamika. Hao wachina kama mmewaacha maporini bila usimamizi, au watu wetu wanakubali kula rushwa halafu wanaachia madini yanatoroshwa ..... ni nani hapo mwenye shida. Mchina au Mtanzania mwenye nchi?Nipo senkenke machimboni, Kuna wachina wamefungua mgodi wa kuchimba dhahabu, sasa wanawandanganya watendaji wa serikali kuwa, hawajaanza uzalishaji.
Wachina wanasema bado wanakusanya mchanga, kumbe walishaanza siku nyingi kuzalisha!! juzi Kati Kuna wachina walikuwa wanarudi China, waliondoka na dhahabu ya kutosha! ambayo walienda kuiuza dar kwa mhindi mmoja hivi!! dhahabu hio iliuzwa kws Tsh 280 million.
Pili Kuna wachina wanafanya kazi bila kuwa na vibali vya kufanya kazi nchini!! Wachina hawa wamekuwa wskiingia Kama watalii na kupotelea hapa nchini!!
Nazishangaa mamlaka!! hazilioni hili?wachina wanasafiri kwa gari kutoka dar hadi shelui bila kukamatwa njiani!? hili linafikilisha!!
Mara nyingi huwa wakienda watu wa uhamiaji pale mgodini, wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini, hutolewa hapo mgodini na kupelekwa maeno ya nkonkilangi na wakati mwingine hupolekwa ziwani doromon, inaonekana Kuna mkubwa huwa anajulisha!!
Leo nimeona Kuna watendaji ws serikali wamepita wakielekea mgodini, sijui Kama wanalijua hili!?
Taarifa hizi angezipeleka panapo husika ili wachukue hatua huwezi amini mleta uzi angeishia kwenye mikono ya dola na angepatikana na hatia kama sio kupatwa na misuko suko. Viongozi na mamlaka za bongo ndo walivyo.Taarifa ulizotoa ni za muhimu sana ila ungezipeleka kwa wahusika ungeokoa pesa nyingi za taifa hili
Sawa sawa mkuu!Mkuu umetimiza wajibu wako ila ukweli ni kwamba nchi imerudi kwenye wizi mkubwa wa rasilimari zetu, na hapo kuna mkubwa anakuwa anapata chake hivyo inakuwa ni rahisi saana kutoa taarifa kwa hao wachina, suala la kutoa taarifa kwenye social platform pia ni zuri kikubwa taarifa ifike kwa wahusika na wewe uwe salama
Vipi ulikuwa unachimba chumvi?au ulikuwa unakula samaki tu hapo kutoka DolomoniDaah umenikumbusha mbali aisee.
Tundu Lissu alikuchapa matako sio Siri na baba yako na mama yako wakikucheki bila msaada!!Ndiyo anachotaka Tundu Lisu
Kuna jamaa alinikodi kwenda kuchukua Chumvi yake nikampelekea Kigali.Vipi ulikuwa unachimba chumvi?au ulikuwa unakula samaki tu hapo kutoka Dolomoni
Achana naye huyo. Mpaka hapa umeshatoa taarifa ya kutosha na wahusika watakuwa wanalifanyia kazi.Kwahio Mimi nawafanyia umbea wachina! wazazi wako wanahasara!