Wachina wanatorosha madini yetu

Kutujulisha sisi unatutia hasira tu, bora hata ungepiga simu wizarani mbona namba zipo?
 
wamekuachisha kazi hapo mgodini ehh??
Sasa si uwaambie hao watendaji wa serikali ili wawabane wachina
Na hawa ndio watanzania ambao wengi wana ujinga kama huu na huu ni ujinga haswaa

Mtu anetoa taarifa kwa malengo mazuri kabisa dhidi ya wizi wa siri wa wageni dhidi ya rasilimali za taifa lakini wajinga na wasio nanuzalendo kama hawa wanaanza kukejeli kwakweli huu ni ujinga na kukosa uzalendo kwa taifa.
 
Hii ndio aina ya watu wetu!! wana laana za unafiki!!
 
nashauri waongeze kuiba maana aliejaribu kudhibiti wizi wa mali zetu tulimpinga na kumtukana kwa nguvu zote.
 
Bwana mdogo usinilazimishe kabisa nikutamkie neno baya iwe laana kwako.

Sasa nakufuatilia ole wako nikukute hapo kwa shemeji yako umening'iniza poumbou sofani sebuleni unagombea remote na beki tatu utaniona.

Fanya kazi Aisee.

Amri!
Wewe nakuja, ulikuwa demu wangu!! sasa unanitolea povu, kwasababu nilikuacha!!
 
Kikwete aliwabidhi migodi wazungu,Yuko ulingoni tena,hivyo hakuna Cha ajabu.
 
Si tuliambiwa TISS wako kila mahali vipi hapo hawapo?
 
Huna lolote we boya!! uniwini ili iweje? huna unachokifahamu!! wewe ni aina ya watu walioenda shule ili wapate ajira! sio waelimike!!
 
TANZANIA ni Shamba la BIBI kila Mtu RUKSA kuvuna Atakacho kwa sasa tuko Busy na UGAIDI
 
Namkumbuka jiwe,
Hapo hata wachina wenyewe wasingefika huko kuiba ile kusikia hii nchi ipo chini ya utawala wa amri jeshi mkuu JPM, ilikuwa ni dawa tosha ya wizi wa mali asili zetu.
Yan hatumii nguvu mzee baba.

Keep resting Lovely Prezidaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…