Wachina wafunguwa daraja kubwa kupita yote duniani linalopita baharini zaidi ya maili26

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,322
33,126
<header style="color: rgb(51, 51, 51); font-family: georgia, serif; font-size: 16px; line-height: 25px; ">China opens world's longest cross-sea bridge

</header>
pb-110630-china-bridge3-da.photoblog900.jpg
Yan Runbo / Imaginechina via AP
Aerial view of the Jiaozhou Bay bridge on June 29. Linking China's eastern port city of Qingdao to an offshore island, Huangdao, it is the world's longest cross-sea bridge at over 26 miles.

pb-110630-china-bridge2-da.photoblog900.jpg
Han Jiajun / Imaginechina via AP
Part of the Jiaozhou Bay bridge.

pb-110630-china-bridge1-da.photoblog900.jpg
Wu Hong / EPA, file
Construction work on the Jiaozhou Bay bridge on June 1. The bridge opened on June 30 after more than four years of building work.

110630-china-bridge-hlarge-130a.photoblog900.jpg
Huang Jiexian / Imaginechina via AP, file
The Jiaozhou Bay bridge during construction on January 6. The bridge is expected to carry over 30,000 cars a day and will cut the commute between the city of Qingdao and the sprawling suburb of Huangdao by between 20 and 30 minutes.

HAWA WACHINA NI MWISHO WA YOTE DARAJA REFU KUPITA YOTE YALIYOPO DUNIANI SI MCHEZO WAVIMBA MACHO.
DARAJA LINA UWEZO WA KUCHUKUWA GARI ELFU 30.000 KWA DAKIKA 20 MPAKA 30.

Bado tunaishi tusikate tamaa,swali ambalo nashidwa kupata jibu tukijafika huku hawa wenzetu watakuwa wapi?
 
Impressive!! Uchumi wao uko juu na pia wana bidii ya kufanya kazi.Wana kila sababu ya kuwa na infrastructures kama hizi.
 
Bado tunaishi tusikate tamaa,swali ambalo nashidwa kupata jibu tukijafika huku hawa wenzetu watakuwa wapi?

Bila shaka wakati huo tukifika huko itakuwa karne ya 30 na ushee na wakati huo watakuwa wanaishi ktkt ya bahari km makazi yao ya kudumu!

Hili ndilo linawafanya wafanikiwe,wana plan dunia itavvyo kuwa wakati hawatakuwepo.sisi mpaka litokee ndio tunatafuta mbeleko ya kulibebea...tazama mifano tatizo la umeme,maji foleni Dar-es-salaam.

Wakati wao wakiwa masikini, USA na JAPAN walikuwa juu sana.

Aliyejuu, Mfuate huko huko na utamkuta tu.

Huwa wanaenda na mwisho wanakuta ukuta wanaanza kudunda na uchumi KUDUMAA.

Msiwe na wasiwasi na wala kukata tamaa. Tukimpata Dr. Slaa na Tundu Lissu, tutafika tu.
 
Na sisi tunalo pale mlalakuwa jkt ni refu na la kisasa.
 
Bado tunaishi tusikate tamaa,swali ambalo nashidwa kupata jibu tukijafika huku hawa wenzetu watakuwa wapi?

Hatuna mpango wa kufika hapo. Ikitokea bahati mbaya akatokea mwenye mawazo ya kutufikisha hapo, wachina

watakuwa wamekuwa bilioni 100 duniani. Hivyo hawatapata sehemu ya kuishi. Watajenga reli hadi Mars na kufanya

makazi yao ya kudumu. Tutakuwa tunasoma katika historia kwamba lilikuwepo taifa la china hapa duniani miaka 100

iliyopita lakini sasa for convenience wamehamia Mars
 
Bila shaka wakati huo tukifika huko itakuwa karne ya 30 na ushee na wakati huo watakuwa wanaishi ktkt ya bahari km makazi yao ya kudumu!

Hili ndilo linawafanya wafanikiwe,wana plan dunia itavvyo kuwa wakati hawatakuwepo.sisi mpaka litokee ndio tunatafuta mbeleko ya kulibebea...tazama mifano tatizo la umeme,maji foleni Dar-es-salaam.
Kufika huko kwa sasa hatuna mpango tunajikongoja!!! Ila nilikuwa nasema hapa jamvini sijui kama watu walinielewa, kama hawa wachina wanajenga daraja refu namna hiyo na wanafaulu kwa nini tasiwape kazi ya kujenga mtambo wa hydro power kwenye mto wetu mkubwa wa Kagera toka Rusumo tukazalisha umeme kama Jinja, Nile Hydro Power Station!!!! Tukapona umeme wa magenerator unaofilisi nchi yetu kwa gharama zake kubwa, mafuta na capacity charges????? Kazi hii itafanyika kwa mkakati wa muda mrefu lakini jibu lake ni la kudumu!!! Hivi hakuna watu serikalini wenye mawazo mazuri ya kutukomboa na dhiki ya umeme wa gharama kubwa????
 
Wakati wao wakiwa masikini, USA na JAPAN walikuwa juu sana.

Aliyejuu, Mfuate huko huko na utamkuta tu.

Huwa wanaenda na mwisho wanakuta ukuta wanaanza kudunda na uchumi KUDUMAA.

Msiwe na wasiwasi na wala kukata tamaa. Tukimpata Dr. Slaa na Tundu Lissu, tutafika tu.

Kwani ndugu zangu miradi kama hii si itaondoa umaskini Tanzania????? Umeme wa bei nafuu utapunguza gharama za uzalishaji bidhaa. Pamoja na matumizi ya nyumbani na maofisini!!! Viwanda vingi vitafunguliwa kuongeza ajira kwa watu, hivi Tanzania tumerogwa kwa nini tusiwe na mikakati ya kutukwamua kiuchumi????? Mbona Mwl Nyerere na Kaunda wa Zambia walisimamia ujenzi wa reli ya TAZARA na ikakamilika??? Tuinuke Watanzania tujikomboe hakuna wa kutubeba ni sisi wenyewe!!!!!

[h=1]Three Gorges Dam[/h] From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search

Three Gorges Dam

The dam in September 2009
<center>

Location of Three Gorges Dam</center>
Official name&#38271;&#27743;&#19977;&#23777;&#27700;&#21033;&#26530;&#32445;&#24037;&#31243;
CountryChina
LocationSandouping, Yiling, Hubei
Coordinates<small>30°49&#8242;48&#8243;N 111°00&#8242;36&#8243;E&#65279; / &#65279;30.83°N 111.01°E&#65279; / 30.83; 111.01Coordinates: 30°49&#8242;48&#8243;N 111°00&#8242;36&#8243;E&#65279; / &#65279;30.83°N 111.01°E&#65279; / 30.83; 111.01</small>
StatusOperational
Construction beganDecember 14, 1994
Opening date2008
Construction cost¥180 billion (US$26 billion)
Owner(s)China Yangtze Power (subsidiary of China Three Gorges Corporation)
Dam and spillways
Type of damGravity dam
Height181 m (594 ft)
Length2,335 m (7,661 ft)
Crest width40 m (131 ft)
Base width115 m (377 ft)
ImpoundsYangtze River
Spillway capacity116,000 m[SUP]3[/SUP]/s (4,100,000 cu ft/s)
Reservoir
CreatesThree Gorges Reservoir
Capacity39.3 km[SUP]3[/SUP] (31,900,000 acre·ft)
Catchment area1,000,000 km[SUP]2[/SUP] (390,000 sq mi)
Surface area1,045 km[SUP]2[/SUP] (403 sq mi)
Normal elevation175 m (574 ft)
Reservoir length600 km (370 mi)
Max. reservoir width1.1 km (0.68 mi) avg.
Power station
Commission date2008–11
TypeConventional
Hydraulic headRated: 80.6 m (264 ft)
Maximum: 113 m (371 ft)[SUP][1][/SUP]
Turbines30 × 700 MW
2 × 50 MW
Installed capacity21 GW
Maximum capacity22.5 GW
Capacity factor0.45
Annual generation80 TWh (290 PJ)
Net generation368 TWh (1,320 PJ) (2009)

<tbody>
</tbody>
The Three Gorges Dam (simplified Chinese: &#38271;
 
Kufika huko kwa sasa hatuna mpango tunajikongoja!!! Ila nilikuwa nasema hapa jamvini sijui kama watu walinielewa, kama hawa wachina wanajenga daraja refu namna hiyo na wanafaulu kwa nini tasiwape kazi ya kujenga mtambo wa hydro power kwenye mto wetu mkubwa wa Kagera toka Rusumo tukazalisha umeme kama Jinja, Nile Hydro Power Station!!!! Tukapona umeme wa magenerator unaofilisi nchi yetu kwa gharama zake kubwa, mafuta na capacity charges????? Kazi hii itafanyika kwa mkakati wa muda mrefu lakini jibu lake ni la kudumu!!! Hivi hakuna watu serikalini wenye mawazo mazuri ya kutukomboa na dhiki ya umeme wa gharama kubwa????
Hapo pekundu ni mradi wao
 
<header style="color: rgb(51, 51, 51); font-family: georgia, serif; font-size: 16px; line-height: 25px; ">China opens world's longest cross-sea bridge

</header>
pb-110630-china-bridge3-da.photoblog900.jpg
Yan Runbo / Imaginechina via AP
Aerial view of the Jiaozhou Bay bridge on June 29. Linking China's eastern port city of Qingdao to an offshore island, Huangdao, it is the world's longest cross-sea bridge at over 26 miles.

pb-110630-china-bridge2-da.photoblog900.jpg
Han Jiajun / Imaginechina via AP
Part of the Jiaozhou Bay bridge.

pb-110630-china-bridge1-da.photoblog900.jpg
Wu Hong / EPA, file
Construction work on the Jiaozhou Bay bridge on June 1. The bridge opened on June 30 after more than four years of building work.

110630-china-bridge-hlarge-130a.photoblog900.jpg
Huang Jiexian / Imaginechina via AP, file
The Jiaozhou Bay bridge during construction on January 6. The bridge is expected to carry over 30,000 cars a day and will cut the commute between the city of Qingdao and the sprawling suburb of Huangdao by between 20 and 30 minutes.

HAWA WACHINA NI MWISHO WA YOTE DARAJA REFU KUPITA YOTE YALIYOPO DUNIANI SI MCHEZO WAVIMBA MACHO.
DARAJA LINA UWEZO WA KUCHUKUWA GARI ELFU 30.000 KWA DAKIKA 20 MPAKA 30.

hujamsoma mkuu, daraja litapitisha magari 30,000 kwa siku, hizo 20 to 30 minutes ni muda wa safari utakaofupishwa.
 
Back
Top Bottom