Happycuit
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 646
- 542
Wafanyakazi wa Tazara wanajiona ni miungu watu, wana nyodo sana.... Shirika limewashinda kuendesha
Tunafahamu kuna uharibifu wa miundombinu ya reli iliyotokana na mvua za masika zinazoendelea kunyesha iliyopelekea safari za Zambia - Dar es salaam kusimama kwa muda lakini kipande cha dar hadi mlimba hakina tatizo lolote.
Na kupelekea kutumia treni ya mwakembe kuhudumia watu wanaoishi kipande hiko, sasa kwanini huduma ziwe za kibaguzi? Watu wanakuja mnawaambia safari hamna ila mnasafirisha watu kwa connection kupitia treni hiyo hilo suala sio zuri.
Mnasafirishana kijamaa kwa kujuana, kama safari hamna ieleweke hamna kwa wote,
Kama safari zipo wekeni ratiba rasmi ili wananchi wapate huduma kwa usawa......
MNAKERA SANA.
mmeharibu kila kitu mlikabidhiwa miundombinu bora mmeiharibu na mmeshindwa kuihudumia kwa kujali matumbo yenu, nyumba mmeuziana, reli hatarishi, mabehewa machafu , nyie mpoje?