wachina ni noma wanatisha

wachina ni noma wanatisha

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,328
314054_2919688411825_1651622953_n.jpg

mambo ya dunia hayo
 
Dah! Hii nayo kali,nafikiri swali lililofuata ni...nikitaka kuangalia zile picha za kunihiii..nabonyeza wapi?
 
Kuna Mwenyekiti yoyote wa Chama cha Siasa kapitia Jeshini au mnataka kujifanya na nyie vita vikitokea mtajiingiza Combania gani au Platoon acheni hizo mnachokoza nyuki wakati mmevaa Magwanda
 
Teh! Teh! Nimeipenda!!!!!!!!!!!!!!
 
huyo jamaa anaulizia kuchezea game, ina maana hapo ndo ukomo wa mawazo yake?
 
Kizazi hichi tayari ni tatizo. Ivi mtu usipomtukana jk hujiskii raha? Tatizo ni nyinyi wenyewe na wala siyo jk.
 
Jamani mimi sioni hizo picha nielekezeni nini cha kufanya niweze kuona, kuna baadhi zinafunguka nyingine hazifunguki
 
Kizazi hichi tayari ni tatizo. Ivi mtu usipomtukana jk hujiskii raha? Tatizo ni nyinyi wenyewe na wala siyo jk.
kalale kilaza wewe kwa hiyo yeye ni mbunifu???vitu gani huyu anafanya rejea kwa wana mabwepande waliomtangulia walishawahi hata kubembea kama alivyofanya jamaika????rais shalobaro.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom