Wachina ni kiboko

strong ruler

JF-Expert Member
Nov 2, 2013
4,921
3,305
ImageUploadedByJamiiForums1460191895.483229.jpg
 
Kuna ile ya Land rover wao wametoa Landmark sijui......
 
Ndo maana unaambiwa ni kiboko, kiasi kwamba hujaona kwamba hiyo sio PRADO bali PARDO
na cruiser land badala ya landcruiser
Lakini kesi ya patent ipo hapo. Hapo nyuma tz kulikuwa na kesi kati ya kiwanda cha forma ndimu na forma Limau. Mahakama iliamuru yule wa forma ndimu afunge hiyo bidhaa kwani ni uhuni wa kuchanganya wateja tu kwa vile aliona mwanzilishi wa forma limau anauza sana na akaigilizia kwa kutengeneza bidhaa of the same spicies.

Kuna kesi pia kati ya Apple na Sumsung huko USA na Korea North ni Vurugu tupu.
 
Back
Top Bottom