steam of ice
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 257
- 172
Nafuu ndo shngp... Taja bei
Sawa kwa soft rock ni sh.ngapi na kwa hard rock ni sh.ngapi...?Bei ya uchimbaji inategemea na saiti ilipo,aina ya mwamba uliyopo kama ni hard rock au ni soft rock.
Wastani visima huwa na mita ngapi? Maana hapo mita 10 tu ni laki 9
unazungumzia 9-13.5 MilDodoma unaweza chimba mita 80 na ukakosa maji mara nyingi kuanzia mita 100 hadi 150
Sawa mkuuTanga ni 100000 kwa mita boss
Ndy ila hyo ipo juu nina nilichochimba kwa mkono kina meter 30.Ulihitaji kuchimba kisima?
Kiongozi hiyo ni gharama kubwa sana.. Haziendani na maisha ya mtz . Hebu fanyeni review ya bei zenu kwa kweli
Swala sio Review boss ghalama za uchichimbaji zinategemeana na ghalama za material yanayotumika kuchimba kuanzia pipes na kila kitu
Kiongozi nishachimba na kampuni mbili tofauti visima viwili kingine mita 90 kingine mita 100 dodoma haikufika hio bei unayosema ww na maji bwelele. Naamaanisha nachokisema kiongozi. Review bei zenu ni kubwa sanaa. Sijui kwa nn.