Tunachimba Visima na kufanya underground water survey... Pia tunatowa matenki bure kwa wateja

tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
250
TAWA WATER PROFFESIONAL

Karibu Tawa Water Proffesional mabingwa wa uchimbaji wa visima pamoja na ufanyaji wa Underground water survey bei zetu ni nafuu sana. Tunatowa huduma zetu kwa visima vya mahitaji tofauti tofauti kama kwa matumizi ya majumbani,kumwagilia bustani,kunyweshea mifugo hata kwa ajili ya mashambani kumwagilia mazao mashambani bei zetu ni nafuu sana

Mfano visima Vya Dar es Salaam na Pwani

Urefu wa kisima Gharama za kisima
Kisima Mita 50 Tshs 3,500,000
Kisima Mita 80 Tshs 5,600,000
Kisima mita 100 Tshs 7,000,000
Kisima mita 120 Tshs 8,400,000
Kisima mita 150 Tshs 11,000,000

Nb: bei hizo zinajumuisha Bomba Upvc,Gravel,Polypipe,Pampu pamoja na flashing na kukupa tenki bure kabisa

Mfano visima mikoani kama Dodoma bei zake

Urefu wa kisima Gharama za kisima
Kisima mita 50 Tshs 6,000,000
Kisima Mita 80 Tshs 9,600,000
Kisima Mita 100 Tshs 12,000,000
Kisima Mita 120 Tshs 14,500,000
Kisima Mita 150 Tshs 18,000,000

Nb: Ghalama hizo zinajumuisha Bomba Upvc,Gravel,Polypipe,Waya,pampu na Flashing na kukupa tenki la maji bure kabisa

PIA TUNAFANYA NA UNDERGROUND WATER SURVEY KWA GHARAMA NAFUU KABISA MAHALI POPOTE NDANI YA TANZANIA.

MAWASILIANO:
Watsapp: 0625 576 082
0715 459 476
Call & text: 0764 418 248
0687 192 923

Nb: MAZUNGUMZO YAPO, KARIBU SANA

TUPO DAR ES SALAAM.
FB_IMG_1534838889139.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom