Tunachimba visima pamoja na kufanya Underground water survey

tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
152
Tawa Water Proffesional

ni kampuni inayojishughulisha na uchimbaji wa visima vya maji safi na salama pamoja na ufanyaji wa underground water survey... Pia tunatoa huduna zingine zihusuzo masuala ya visima kama vile, kusafisha kisima,kufunga pampu,kurekebisha pampu pamoja na kutia ushauri bure juu ya maswala mazima ya visima.

Bei zetu ni nafuu kabisa... Sasa hivi tuna huduma mpya kabisa ya kufanya survey kwenye eneo lako na kukwambia umbali wa maji yalipo pamoja na kukwambia kama maji ni ya chumvi au ni baridi na ghalama zake ni kwa wateja wa Dar es salaam bei ni laki nane na nusu na kwa wateja wa mikoani bei ni million moja na nusu karibuni sana

Bei zetu za uchimbaji ni nafuu kabisa hasa kipindi hiki cha mwaka mpya. Ukichimba kisima na sisi tutakupa na kukufungia pampu ya kuvutia maji bure,tutakuwekea bomba Upvc pamoja na kukusafishia kisima chako na kukupa tenki la maji bure kabisa.

Tupo Dar es salaam Chanika.

Mawasiliano: 0764 418 248
0625 576082
Karibuni sana:
Borehole-Drilling-Services-Harare.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom