Wachezaji wetu wafundishwe Huduma ya kwanza kila wakati.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
7,869
16,916
Wachezaji huwa wanakuwa karibu sana kuliko daktari wakati mpira ukiendelea na hili liwe funzo kuwa inapotokea mtu kaanguka wawe wa kwanza kuhakikisha usalama wa mtu huyo kabla ya kudhan kajiangusha au kufikiria tu kutafuta ushindi.

tukio la fernando torres kuangukia kichwa na wachezaji wa team zote kuwahkwenda kumpa huduma ya kwanza ni fundisho kwetu. kuna uwezekano mchezaji yule angeweza kumeza ulimi /ulimi kuziba njia ya hewa na hivyo kupelekea kifo chake. mpira ni burudaninaisiwe sehem ya vita na uadui. tukumbuke kucheza fair play wakati wote na kuwa mpira si uadui.
 
Back
Top Bottom