Tangu nimeanza kufatilia soka la bongo,mwaka 1990,sijawahi kusikia mchezaji kutoka yanga akishinikiza kwenda simba,bali nimeshuhudia wa simba wakingangania kuvaa uzi wa YANGA tena wakiwa kwenye kiwango cha juu,mfano,Hamisi gaga,method mogela,zamoyoni mogela,athumani idi,saidi maulidi,CALVIN YONDAN..Ngasa nae hana raha na azam,Bahanuz nae aliwachomelea simba,akawaambia nataka kuchezea timu niipendayo (yanga).Simba wamekuwa wakiambulia magalasa tu kutoka yanga,au waliofukuzwa kwa utovu wa nidhamu...

unawkumbuka hawa,au unajisahaulisha ,Edbily lunyamila (winga bora wa karne wa tz) ,said mwamba kizota ,mohamedi husen,sanifu lazaro,keni mkapa,nk,nk....Unakumbuka kaseja alivowapigia magoti wanasimba ili akachezee yanga?Bongo Bingo. Yanga haina sifa ya kutowa wachezaji wazuri kwa hivi karibuni, mara ya mwisho kutoa wachezaji wazuri wa Kimataifa ni wakati alipokuwapo Professor Victor Stansulescue ambae aliibuwa wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, kina Kassim Manara, Adolph Rishard, Mohamed Mkweche, Juma Pondamali, na wengineo.
Pole kwa kuijua soka baada ya 1990.........kwa taarifa yako Yanga daima hutamani wachezaji hasa baada ya kupata kipigo toka Simba......pia inaonyesha udhaifu wenu wa kusaka vipaji.........nyie mpaka mchezaji atokee Simba.....BTW umemsahau Kaseja.........nakupa post card hii ya upendo!!!!
Simba chuo cha mafunzo. Na mwanafunzi akishafuzu ni wajibu wake aonyeshe matunda ya darasa. Hivyo Yanga msifurahi tu kupokea vilivyondaliwa na wenzenu mwisho mtapokea sumu. Si mnakumbuka 6-0 na 5-0!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ramadan wasso na athuman iddUmemsahau Akida Makunda, Shaaban Ramadhan na Kaseja..Wengine wenye mapenzi na Yanga lakini walibaki Simba kwa ajili ya kuchota pesa za bure ni Hussein Masha na Mwameja.. Yanga kiboko, ukiona mchezaji anatoka Yanga kwenda Simba ujue ni gemu limekataa mfano, Lunyamila, Mohamed Hussein, Tigana, na wengine wengi..Nani mzuri aliyekwenda Simba akaacha pengo Yanga?