ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Binafsi ni mpenzi wa football
Jana nimefuatilia mechi ya Stars na Nigeria
Ilikuwa kama mashindano ya shule Kwamba ni mechi ya Form 1 vs Form 6
Nimeona Taifa stars wana vipaji ila ni kama hawana lishe yaani mbegu mbaya
Nadhani serikali iangazie lishe za watoto wakiwa wadogo ili kujenga miili yenye nguvu
Mfano eti Msuva akabane na Ajay
Au Basey akabane na Alfons Mabula,
Au eti Lookman au Chukuweze ana battle na Tshabalala
Pale katikati eti Iwobi, Ndidi na Adams wana battle na Novatus na M'mombwa
Shida yangu sio CV ila ni hali ya fitness wachezaji wetu unaona ni ndogo mno
Ufupi wala kimo sio shida Mesi, Mane, Carzolq ni wafupi ila unaonekana miili ina nguvu