Wachezaji wa Simba wamecheza chini ya kiwango

Sipati picha kama goli la pili alilosababisha Sajenti angesababisha mchezaji wa Simba mleta mada ambaye tunamjua fika ni shabiki kindakindaki wa Yanga angekuja na kejeli gani kwake.

Tuache aina hii ya ushabiki
 
Kwenye kiungo ya chini unamwacha kagoma unaanzisha ujinga kisa unacheza ulaya baada ya kufungwa ndo unamkumbuka kagoma poor coaching
 
Mi namshangaa kip denis anapocheza na klabu ya ubwela utadhani ameweka mota miguuni taifa staa
 
Mpira ni mipango mzee
 
Sipati picha kama goli la pili alilosababisha Sajenti angesababisha mchezaji wa Simba mleta mada ambaye tunamjua fika ni shabiki kindakindaki wa Yanga angekuja na kejeli gani kwake.

Tuache aina hii ya ushabiki
Hapana mkuu...Mimi sina timu
 
Yanga hakuna mtu fala kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…