Mashindano yenu ni mazuri,japo nimeyaona leo tu kupitia Azam TV.Nafikiri mlikuwa na malengo mazuri kabisa ya kuanzisha mashindano haya.
Binafsi sijafurahishwa na uwepo wa wachezaji wa ligi kuu ya Tanzania bara,kwanini?kwasababu tulitarajiamashindano haya yangejumuisha wachezaji wasiocheza katika ligi kuu ili kuwapa nafasi ya kuonesha vipaji vyao.
Kuwaleta akina Tegetu na wengineo imenyima naasi ya vipaji vipya kuonesha vipaji vyao,kwa hap naweza kusema waandaji wamefeli kwa kiasi fulani.
Nashauri mashindano yajayo waandaaji wasiruhusu wachezaji wa ligi kuu kushiri mashindano haya ila vipaji vipya wapate kuonesha ufundi wao.
Yote ya yote nasema HONGERA kwenu waandaaji.

haikuwa lazima kuchangia kama huna hoja
Mkuu kama jina la mashindano linavyojionyesha...ndondo ni aina ya mashindano kwa level ya mchangani but inakuwaga na wachezi masuperstar wanachukuliwa either kama timu yake ya mtaani au anacheza kwa kulipwa......by then haiwezi itwa ndondo bila kuwa na hao masuperstar....
May be ulete idea yko mpya kwamba...ihusishe ma underground tuu but neno ndondo lisitumike
kwani hilo neno NDONDO maana yake nini mkuu