Iamjac16
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 214
- 53
Natumaini mu wazima wana jf.katika kuelekea mwisho wa mwaka tuwajadili wachezaji wa TANZANIA ambao mimi wengi na walinganisha na utamu wa jojo ambao mwanzoni huwa tamu na baada ya mda mfupi huisha.angalia wako wapi wachezaji waliotamba kiasi cha kuwa gumzo na tumaini kwa taifa wachezaji kama HENRY JOSEPH,DAN MRWANDA,MUSSA MGOSI Na Wengineo waliokuja kwa kasi na kupotea hivi karibuni aliibukia mshambuliaji hatari SAID BAHANUZI lakini sijui kasi yake ya kwenye kagame imeishia wapi.mpaka sasa angalia ni wachezaji wangapi waliotamba miaka mitatu nyuma enzi za maximo ambao bado wapo kwenye fomu yao ukiwaondoa MRISHO NGASSA,SHABAN NDITTI NA CANNAVAROG.angalia wachezaji wa nchi jirani ambao bado wana tamba mfano MARKDONARD MARIGA(KENYA)DENNIS OLIECH NA wengineo ambao kila kukicha wanapafomu vizuri.tujiulize Tatizo Ni Nini