Wachezaji wa gemu la Clash Of Clan tukutane hapa

Kaputupu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
1,486
1,171
Clash Of Clan...
Tunaocheza hii game naomba tukutane Hapa Jamani tupeane Maujanja... Maana nimekuwa nikicheza for couple Of Month lakini nakutana na changamoto kibao... Tusaidiane kusolve hizi Changamoto...
 

Attachments

  • Screenshot_2016-02-20-21-09-56.png
    Screenshot_2016-02-20-21-09-56.png
    409.2 KB · Views: 30
Back
Top Bottom