Henry Moris
1. David Mihambo, kule tu kuhamia Simba akaishia hapo hap. Nadhani kibadeni pia alichangia kumumaliza, alipenda sana kumtumia Abdul Mashine ambae naye hakudumuHenry Moris
Dah hii game tungepenya tungezima kelele za Mbumbumbu fc "Sisi ndio timu pekee ya Tz kuwatoa mabingwa watetezi". Iliniuma sana.
Tatizo kubwa hapa JF watu hawasomi ili waelewe, wanasoma ili wamalize wajibu. Niliposema tungezima kelele za Simba kumtoa bingwa mtetezi we umeelewa timu gani hapo naongelea kama sio Zamaleki?! Au ndio umbumbumbu wenyewe?!
Baada ya mbumbumbu msemaji naye kawaongezea lingine wapumbavuTatizo kubwa hapa JF watu hawasomi ili waelewe, wanasoma ili wamalize wajibu. Niliposema tungezima kelele za Simba kumtoa bingwa mtetezi we umeelewa timu gani hapo naongelea kama sio Zamaleki?! Au ndio umbumbumbu wenyewe?!
Mwinyi Rajab kiungo wa Kirundi aliyekuja bongo na kucheza vilabu vyote viwili vya Simba na Yanga.Abuu Ramadhan Amokachii. Aklikuwa forward mzuri akisaidiwa na kiungo Thomas Baraza. 2 Rajab mwinyi. 3 shamte ally
Mtabakia kusema hivyo hivyo 'tunge... "Dah hii game tungepenya tungezima kelele za Mbumbumbu fc "Sisi ndio timu pekee ya Tz kuwatoa mabingwa watetezi". Iliniuma sana.
mkuu umenifanya nimpigie simu mdg wangu maana huyu jamaa alipo sajiliwa simba na bwana mdg kupata bahati ya kumwona alitamba sana hadi nikawa namwita mwombeki hahahahahahaBetram mwombeki