Wachezaji Bongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kwenye soka

Henry Moris
1. David Mihambo, kule tu kuhamia Simba akaishia hapo hap. Nadhani kibadeni pia alichangia kumumaliza, alipenda sana kumtumia Abdul Mashine ambae naye hakudumu
2. James Nestory: Ile tu kutoka biashara Shy kwenda simba ndo ukawa mwisho wake
3. Michael Paulo: alivyovuma kajimix kidogo, ndo ikawa mwisho wake
4. .........
 
Tatizo kubwa hapa JF watu hawasomi ili waelewe, wanasoma ili wamalize wajibu. Niliposema tungezima kelele za Simba kumtoa bingwa mtetezi we umeelewa timu gani hapo naongelea kama sio Zamaleki?! Au ndio umbumbumbu wenyewe?!
Baada ya mbumbumbu msemaji naye kawaongezea lingine wapumbavu
 
Back
Top Bottom