Wachezaji Bongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kwenye soka


Naby Keita

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
2,929
Likes
986
Points
280
Naby Keita

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2011
2,929 986 280
inasemekana wakati anahojiwa na uhamiaji.
Ameulizwa umezaliwa wapi
Akajibu Kibaha
Akaulizwa Kibaha ipo mkoa gani
Akajibu Mkoa WA Kigoma
alikua mwalimu wa kifaransa na hesabu st.marys ya tabata ila kwenye 2003 huko
 
ningendako

ningendako

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Messages
11,428
Likes
50,674
Points
280
ningendako

ningendako

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2017
11,428 50,674 280
Kipanya Malapa alitisha sana enzi zile za Singida United imepanda ligi kuu kwa mara ya kwanza,,bila kumsahu Edward Kayoza,,msimu ule alikuwa mfungaji bora kama sijakosea
 
ningendako

ningendako

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Messages
11,428
Likes
50,674
Points
280
ningendako

ningendako

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2017
11,428 50,674 280
Edward Kayoza -Singida United
 
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Messages
2,034
Likes
3,031
Points
280
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2017
2,034 3,031 280
Thomas Mashalla - Mtibwa Sugar
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
5,099
Likes
4,033
Points
280
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
5,099 4,033 280
Pale Mtibwa Sugar, kuna nahodha kiongozi Shaban Nditi. Amecheza soka la kiwango cha juu kwa muda mrefu bila kuchuja. Amedumu sana kwenye soka la ushindani hapa Bongo.

Ukifika kwenye kikosi cha Kagera Sugar wanankurukumbi, utakutana na George Kavila Master. Ni karibia miaka 20 sasa anacheza ligi kuu ya Tanzania. Ni moja kati ya wachezaji wakongwe na wenye nidhamu ya hali ya juu ndani na nje ya uwanja.

Lakini habari ni tofauti kwa baadhi ya wachezaji wengine. Kuna wachezaji wa kibongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kabisa katika ramani ya soka.

Leo, tujikumbushe list ya wachezaji hao.

Mimi naanza na hawa wafuatao...
Rashid Gumbo

Said Bahanuzi

Jerry Tegete

Endelea na wewe...Sent using Jamii Forums mobile app
Mwingine chama mpigadebe stand ya Lusaka
 
hyperbolic

hyperbolic

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2017
Messages
366
Likes
381
Points
80
hyperbolic

hyperbolic

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2017
366 381 80
AKILI TATU

AKILI TATU

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2016
Messages
1,152
Likes
803
Points
280
AKILI TATU

AKILI TATU

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2016
1,152 803 280
Yule dogo wa yanga aliyeshine kwenye game ya Tp mazembe anaitwa mahadhi kama sikosei ,naona siku hizi kawa model,soka ndio basis kabisa
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
14,117
Likes
9,344
Points
280
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
14,117 9,344 280
Nani anamkumbuka Athuman Idd Machepe wa Simba? Umaarufu wake ulisababishwa na kuichepea Yanga mara kadhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,262,453
Members 485,588
Posts 30,122,838