Tony-stark
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 1,020
- 1,348
Mpoki.
Wapo sema hufuatilii...Cheka tu na bongo stand up comedy kuna watu wanajua sana.Mpoki sio mchekeshaji ni mlopokaji tu...Mnazungumzia wachekeshaji wa Instagram wanafanya short clips. Hakuna wachekeshaji pale. Tutaje hapo wanaoweza wakafanya one man stand off comedy, ni Mpoki tu kwa sasa. Na kwenye screen/TV ni Joti. Hao wachekeshaji wa Instagram bado sana
Duuuh.... Joti nae mmeshaanza kumpa kashfa baada ya IdrisYule shoga