Wachawi wanikosesha usingizi usiku wa leo

Wenzako ikifika usiku ni marufuku Kulitamka neno CHUMVI,
huwa tunaita MUNYU,
sasa wewe ita chumvi uje ulale na mazonge...( nimetoka ndani mada maramoja, ila nitarudi baadae)
Nakusubiri
 
Hakuna Uchawi wala Wachawi
Hayajakukuta,hata mleta mada alikuwa haamin na baada ya vimbwanga sasa kaleta mrejesho,uchaw upo na ni hatar

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Uchawi wala Wachawi
Hayajakukuta,hata mleta mada alikuwa haamin na baada ya vimbwanga sasa kaleta mrejesho,uchaw upo na ni hatar

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Yanaelekea kushindwa kazana kwa maombi, pole sana

Sent from my TECNO-Y5S using JamiiForums mobile app
Asante mkuu.kiukweli nilipata tabu mno usiku wa leo
 
Ndivyo nilivyo mimi japo kwa siku za hivi karibuni imepungua kidogo.

So siku hizi husali tena sio!!
 
Ukiona kitu kama hicho it's damu ya yesu, njoo kesho ubungo Emaus kituo cha karesmatik kuna kongamano limeanza,muda SAA 3 had sits unafanyiwa deliverence na SAA 8 had 12 ndo Luna kongamano lenyew mahubir na maombez
Emaus wako vizuri sana, nishawahi kupata huduma ya maombi hapo

Sent from my HUAWEI MATE 9 using JamiiForums mobile app
 
Duuh pole mama aisee rud tena Kanisan ukafanye maombi mama
Hakuna namna baba inabidi nirudi aiseeh.
Sitaki kuchuma dhambi juu ya sura ya mtu wangu wa karibu niliyoiona
 
Nashindwa kuelewa muumini akiona wachawi basi anatakiwa aombewe lakini mchungaji yeye pekee akiona basi huwa ni maono hahaaaahaa wakati wote ni binadamu. Imekaaje hii
Ngoja wataalam waje mkuu.
 
Kwanini ulipoona hizo sura huku kemea tena ,wakati unajua kabisa kuwa bila ya kumkaribia Mungu unatoa mwanya kwa mapepo na wachawi kukuchezea.
Nilikuwa nikisem "Mungu wangu"mengine mdomo ulikuwa mzito
 
Sali, funga na kuomba.
Jikabidhi kwa Yesu totally, hii hali itapotea kabisa. Jina la Yesu ndiyo kiboko ya hayo mambo yanayokusumbua.
Hiyo sura ya rafiki si yeye, ni mbinu za wachawi kujificha.
Achana na Maji ya baraka, hiyo ni Tiba mbadala, ukitumia hayo Maji ndo unawaongezea nguvu wachawi.
Samahani kwa niliyemkwaza.

Sent from my Infinix HOT 3 using JamiiForums mobile app
 
Ukiona kitu kama hicho it's damu ya yesu, njoo kesho ubungo Emaus kituo cha karesmatik kuna kongamano limeanza,muda SAA 3 had sits unafanyiwa deliverence na SAA 8 had 12 ndo Luna kongamano lenyew mahubir na maombez
Asantee mkuu nitajitahidi kuja.si ni pale ubungo??
 
Asante kwa ushauri mkuu.kuna kitu nimekichukua kutoka kwako.
Hili la mtu wangu wa karibu inabidi niwe makini na mdomo wangu kuliko kawaida.
 
Hakuna namna baba inabidi nirudi aiseeh.
Sitaki kuchuma dhambi juu ya sura ya mtu wangu wa karibu niliyoiona
Yah ni kwel nenda kaombe kama ni yeye muhusika itakuja kujulikana tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…