mtemiwaWandamba
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 561
- 223
Wewe jamaa naanza na ww ila ukikuta tunalia naomba uscheke tulie pamoja
Endelea kuchangamsha genge.
Wewe jamaa naanza na ww ila ukikuta tunalia naomba uscheke tulie pamoja
HAAA! HUO UCKU ULIWEZA KUCHUKUA PICHA?Story ni kweli wazee ni msiba wa bibi yangu namsubiri mshana Jr akiomba evidence ya PC ntaiweka kumuminisha nilichokisena ila kagera wanaroga kuua na kutafna mahiti
Wewe ndo hujaelewa. Mama yake Mdogo alimpigia simu kumwambia mama yake kafariki. Sasa mama yake wa mama Mdogo si ndo bibi yake. Huelewi nini sasaHumo mwenye marangi rangi humo umejichanganya.
Wakaribishe wadau kwenye sherehe za sikukuu.
Wewe ndo hujaelewa. Mama yake Mdogo alimpigia simu kumwambia mama yake kafariki. Sasa mama yake wa mama Mdogo si ndo bibi yake. Huelewi nini sasa
" Mama yangu mzazi amefariki" ulitoka kwenye kwa mamangu mdgo, nilipousoma nikaamua kumpigia mama yangu mzazi aliyekuwa ameenda kumuuguza mama yake, alipokea huku yowe mdomoni.
Umeleta story nzuri ila unaandika haraka, haya ngoja nisogeze kiti namsubili Mshana jr aje ajibu.Habar wanabodi?
Hakika mwaka 2017,kwangu unaelekea kuisha vibaya baada ya siku takribani tano sasa tangu bibi mzaa mama atutoke baada ya kuugua kwa mwaka mmoja na majuma manne!
Nikiwa kikazi mkoani Moshi,usku wa manane uliingia ujumbe kwenye simu yangu,
" Mama yangu mzazi amefariki" ulitoka kwenye kwa mamangu mdgo, nilipousoma nikaamua kumpigia mama yangu mzazi aliyekuwa ameenda kumuuguza mama yake, alipokea huku yowe mdomoni.
Skwendelea kuongea nilikata, nikakata ticket na kwenda msibani mkoani KAgera, Wilaya ya Mleba kijiji cha itongo.
Niwe mkweli,nilichokiona baada ya mazishi ya bibi yangu. Usku wa manane kwangu yalikuw si mapya sanaaa ndgu yangu Mshana Jr, nisikutie presha.
Ila sasa ili tukio limenikuta Nikiwa MTU mzima,lire LA awali lilinikuta Nikiwa mdgo ingawa nalikumbuka sanaaaa!
Baada kumzika Bibi,ndgu zangu kama mnavyojua,wanaume tunalala nje wanawake ndani!
Mimi nililala karbu na KABURi LA pamoja na Mjomba wetu mkubwa,ilipofika saaa Tisa ulikuja upepo mkali sanaaa na kupelekea umeme kukatika.
Baada ya upepo,lilikuja GIZA Nene sjawai liona, baada ya GiZA Nene walikuja MBWA idadi iliyofikia 40 na kulizunguka kaburi ghafla mjomba aliniamsha na kuaza kutamka maneno yafatyo,
TIMUKUMWIAMU,TIMUKUMWIAMU, uku akipiga mayowe,nilishutika usngizini na kukutnana na Giza Nene na lundo LA mbwa, na kuanza kupiga mayowe!
Ndgu hamwez hamini hakuna aliyeskia mayowe Yale tuliyopga mm na mjomba,
Tulipoamka hasubuh tulikuta KAburi LA bibi upande wa pembeni limetitia!
Mshana Jr utoe neno kwa kujibu maswali haya!
Je kuna wachawi wala mahiti?
Je wachawi wa kanda ya ziwa utofautiana na wapwani?
Je wachawi walipokuja kwa nn mm na mjomba ndo tuliona?
Je ni kweli mchawi anastafu uchwi na kuacha kbsa?
Mshana Jr uchawi, na mchawi ni haviped maendeleo?
Ni hayo tu!
Hivi una balaha wewe? Picha alipiga saa ngapi?Weka picha tuone
Wewe ndiye umejichanganyaHumo mwenye marangi rangi humo umejichanganya.
Wakaribishe wadau kwenye sherehe za sikukuu.
Habar wanabodi?
Hakika mwaka 2017,kwangu unaelekea kuisha vibaya baada ya siku takribani tano sasa tangu bibi mzaa mama atutoke baada ya kuugua kwa mwaka mmoja na majuma manne!
Nikiwa kikazi mkoani Moshi,usku wa manane uliingia ujumbe kwenye simu yangu,
" Mama yangu mzazi amefariki" ulitoka kwenye kwa mamangu mdgo, nilipousoma nikaamua kumpigia mama yangu mzazi aliyekuwa ameenda kumuuguza mama yake, alipokea huku yowe mdomoni.
Skwendelea kuongea nilikata, nikakata ticket na kwenda msibani mkoani KAgera, Wilaya ya Mleba kijiji cha itongo.
Niwe mkweli,nilichokiona baada ya mazishi ya bibi yangu. Usku wa manane kwangu yalikuw si mapya sanaaa ndgu yangu Mshana Jr, nisikutie presha.
Ila sasa ili tukio limenikuta Nikiwa MTU mzima,lire LA awali lilinikuta Nikiwa mdgo ingawa nalikumbuka sanaaaa!
Baada kumzika Bibi,ndgu zangu kama mnavyojua,wanaume tunalala nje wanawake ndani!
Mimi nililala karbu na KABURi LA pamoja na Mjomba wetu mkubwa,ilipofika saaa Tisa ulikuja upepo mkali sanaaa na kupelekea umeme kukatika.
Baada ya upepo,lilikuja GIZA Nene sjawai liona, baada ya GiZA Nene walikuja MBWA idadi iliyofikia 40 na kulizunguka kaburi ghafla mjomba aliniamsha na kuaza kutamka maneno yafatyo,
TIMUKUMWIAMU,TIMUKUMWIAMU, uku akipiga mayowe,nilishutika usngizini na kukutnana na Giza Nene na lundo LA mbwa, na kuanza kupiga mayowe!
Ndgu hamwez hamini hakuna aliyeskia mayowe Yale tuliyopga mm na mjomba,
Tulipoamka hasubuh tulikuta KAburi LA bibi upande wa pembeni limetitia!
Mshana Jr utoe neno kwa kujibu maswali haya!
Je kuna wachawi wala mahiti?
Je wachawi wa kanda ya ziwa utofautiana na wapwani?
Je wachawi walipokuja kwa nn mm na mjomba ndo tuliona?
Je ni kweli mchawi anastafu uchwi na kuacha kbsa?
Mshana Jr uchawi, na mchawi ni haviped maendeleo?
Ni hayo tu!
Pole sana ndugu, niliwahi kusimuliwa aina hii ya uchawi huko Kagera. Wachawi wanafukua maiti. Aliyenisimulia alisema wachawi walifukua maiti ya mzazi wa kiongozi mmoja wa dini. Yule kiongozi alipotambua kuwa wamemfukua aliingia kwenye maombi, wahusika wote walipata uchizi na kuanza kujitangaza kuwa ndo 'walimla' mzazi wa huyo kiongozi.Habar wanabodi?