Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Exactly mkuu, shetani hapigani tu vita visivyo na faida. Atakupiga vita especially kwenye eneo ambalo anajua Kuwa ukichomoka tu umewin; pale pale baraka yako ilipo ndo anakuyumbishaKutoa sadaka STAHIKI kwetu tulio wengi ni kitu kigumu na roho inauma!
Japo nilishafundishwa somo juu ya nguvu ya sadaka naona shetani huwa anasimama hapo ili tusitoe.
Hakika hii ni vita.
Ahsante kwa kunikumbusha mkuu Heaven Sent
Mkuu tafadhali rekebisha uandishi wako, hapa ni JF kwa GT.
si mpaka uwaone!!Dawa ya wachawi ni kupiga moto tu na dawa ya moto ni moto!
Yaani kuhusu sadaka kama ni kisu kimefikia mfupa! Umepiga mulemule.
Yaani tunamwibia Mungu!
Sio kila kifo ni mpango wa Mungu Mkuu.
Kiumbe kilicho hai hakiwezi kufa bila Amri ya Mungu, kila kiumbe chenye uhai kitaonja umauti kwa siku iliyopangwa na Mungu pekee..
Uko mbali sana na uhalisia
Kuna watu wanaakili za Jiwe ukilitoa hatua 1 usipoliondoa hata kama ni miaka 100 utalikuta hapo hapo.....Maisha ya kukariri