Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 330
- 513
Anza wewe kwanzaWACHAWI TUKUTANE HAPA
wachawi tukutane hapa, kila mtu aseme tukio ambalo amewahi kufanya la kichawi
Kama upo, usiishie kusema tu kwamba wewe ni mchawi. Simulia tukio moja ambalo umewahi kufanya
Wachawi mpo? Tuanze na matukio yenu, tusikie mliyowahi kufanya! 😂🔥
Mimi nimechomea sana watu humu wakapigwa bani
Ingekuwa vena uanze na tukio lako,halafu ndg mshana Jr ndio atatufungia dimba kwa shuhuda zake za kuroga
Kwenda kumwaga damu ya kondoo kwa kuzunguka mduara njia panda saa 9 usiku nilitumwa na bibi na asubuhi tukakuta mlevi kafariki na damu haikuonekana Wala michirizi ya damu niliyomwaga🙏nashukuru nimeacha 2012 bibi alipofariki
Yeah haikuonekana na alikuwa ananitumia Mimi kwa sababu hakuna aliyekuwa haniamini kijijini na hatukuwahi bibi hakuwahi kuonyesha ukaribu sana na Mimi ili anitumie kwenye mambo ambayo alikuwa anaona watu watamshitukia kwa hiyo niliyafanya Mimi na sikumfelisha hata jambo moja mpaka alivyofarikiAisee hili tukio ni noma sana damu ilipotea kabisa
unaweza kuwapa watu lift? na kama ndiyo maximum watu wangapiMimi niliwahi kunasa juu ya nyumba ya mzee mmoja nilikuwa nasafiri na ungo natokea Liwale lindi kwenda Misungwi Mwanza.
Kwenye ungo ninauwezo wa kuwapa lift at least maximum watu 4. Pia Nina connect ungo zaidi ya kumi nakufanya yawe kama bahewa ya treni. Hivyo idadi ya lift inaweza kufika mpaka watu 40unaweza kuwapa watu lift? na kama ndiyo maximum watu wangapi
Ulijuaje kama ni mchawi ivi unajua kanisa katoliki ni ngumu mchawi kuingia? Kwasababu ya hayo maji ya baraka yana chumvi ya mawe pia na ule ubani unaofukizwa pamoja na Ile mishumaa inayowaka.Mchawi anayefanya kazi yake kwa weledi hawezi fungua uzi au kueleza ishu zake hata kwa ID feki. Wachawi OG ndo viongozi makanisani na fungu la 10 wanatoa. Mimi nilishawahi kuona mchawi anatumia maji ya baraka kutoka kanisani RC kufanyia mambo yake ya kichawi kwa kuchanganya na dawa zake. Nilishangaa sana na kuyashusha thamani yanayoitwa maji ya baraka.
Mimi niliwahi kunasa juu ya nyumba ya mzee mmoja nilikuwa nasafiri na ungo natokea Liwale lindi kwenda Misungwi Mwanza.
Yeah haikuonekana na alikuwa ananitumia Mimi kwa sababu hakuna aliyekuwa haniamini kijijini na hatukuwahi bibi hakuwahi kuonyesha ukaribu sana na Mimi ili anitumie kwenye mambo ambayo alikuwa anaona watu watamshitukia kwa hiyo niliyafanya Mimi na sikumfelisha hata jambo moja mpaka alivyofariki