Root hii si kweli uchawi upo tena live kabisa hata vitabu na misahafu vimeelezea uwepo wa uchawi ningejua uko wapi na una nafasi ningekualika uje huku niliko ujionee....niko field ya utambuzi wa kiroho na nguvu za kishirikina karibu sana

Salaam wakuu, leo naomba kujua kuhusu wachawi, je kwa nini huwa wanashindwa kutoka gerezani kama wakifungwa? Kwa nini hata wasijigeuze mende au mjusi ili watoke? Au ndio tuseme uchawi una sehemu zake za kuufanyia na sio popote?