Wachapishaji vitabu

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Habari zenu wakuu,

Nahitaji kuchapa na kukiuza kitabu changu katika hard copy ila sina pesa. Ningependa kujuzwa ni kampuni gani nzuri inaweza kufanya kazi hiyo na malipo tugawane toka katika mauzo?.

Nawasilisha.
 
kinahusu nini?
Swali muhimu sana maana hata wachapishaji wanaselect vitabu based on that
Pia lazima kuelewa unahitaji an editor, a publisher and a distributor (or get an agent)
Some publishers will do the three of this, but they will pocked 90% of the revenues.
Hizo 90% ni bei za Tanzania, sijui huko nje bei zinakuaje. Ongea pia na AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Duh! Asilimia 90!, nitamcheki AshaDii kama ulivyoshauri.

 
Fadhili Paulo kama utahitaji proof reader/ editor kabla ya kupatana na a publisher, au somebody wa kukuandikia synopsis am your guy
 
Fadhili Paulo,

Hongera sana mkuu, ni wachache ambao huwa tunafika stage hiyo. Nimepokea ujumbe wako na naomba univumilie kwani nitaujibu inavyostahili. Pamoja Saana.

Mwali my niece, the message has been received. Asante.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…