Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 57,243 Reaction score 90,303 Sep 4, 2024 #1 Wachambuzi na watangazaji wa mpira fahamuni kocha sio sawa na mwalimu, kocha ni zaidi ya mwalimu. Mnapomuita au kumfananisha kocha na mwalimu mnakuwa kama watu makanjanja wasio na weledi katika kazi yenu.
Wachambuzi na watangazaji wa mpira fahamuni kocha sio sawa na mwalimu, kocha ni zaidi ya mwalimu. Mnapomuita au kumfananisha kocha na mwalimu mnakuwa kama watu makanjanja wasio na weledi katika kazi yenu.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 15,774 Reaction score 35,994 Sep 4, 2024 #2 Kabisa mkuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,587 Sep 4, 2024 #3 Cha muhimu ushindi... Cc: Mahondaw