Wachaina wamekomaa na Kichaina chao, hakuna cha Kiingeleza

Wachaina wamekomaa na Kichaina chao, hakuna cha Kiingeleza

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
1,952
Reaction score
939
Wachaina wakiongea wakati wa kukabidhi ukumbi.



​
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    139.8 KB · Views: 282
  • image.jpg
    image.jpg
    140 KB · Views: 192
Halafu rahisi wetu kakomaa na kiinglish....lo.
 
Halafu rahisi wetu kakomaa na kiinglish....lo.
Na wakati wa kufanya cheers siku ile ya dhifa akaongea kichina. Gan Bei! (Sina hakika kama nimepatia sarufi, ila matamshi ndio hivyo).
 
kyanaKyoMuhaya<!-- google_ad_section_end -->Naona umeamua kutuonyesha kuwa sebuleni kwako kuna "Flat Screen"!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom