Wachagga wana Hadi Barabara Zao!! Look.

Wachagga wana Hadi Barabara Zao!! Look.

Siyo Wachagga road tu kuna Wapare, Wasangu, Wasukuma, Somali, Makua, Zaramo, Nyamwezi, Kikuyu, Masai, Swahili, etc. Karibu utembelee Arusha utaijua vizuri mitaa yote siyo umetembelea mtaa mmoja tu wa Wachagga

p139L.jpg
 
Jengo linaloonekana kwa chini kulia ni ofisi za NHC tawi la Arusha na ndio njia panda kwenda Krokoni na Railway station. Jengo kubwa ni hotel ya BACKPACKERS ambayo imeshikamana na Mt. Meru petrol station. Ukiendelea kulia unaenda Summit Centre, Shoprite ma Kilombero market. Arusha raaha, tatizo vumbi!
 
Back
Top Bottom