Wachagga wa Rombo, hii sasa laana! Mwaua mama wa mtoto kisa mtoto kakomba msosi wa jirani?

Acha ushabiki na uzandiki kijana..mapungufu ya mtu au kikundi cha watu hamaanishi wote wapo hivyo...so kuinclude warombo wote ni ushabiki wa kindez...umenikera
 
Inaelekea unatoka hicho kijiji huko Rombo.
Hao walioua hawakutoka Marangu, Kibosho au Machame.
 
Back
Top Bottom