Wachagga pekee ndio wanampigania Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,347
4,807
Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.

Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.

Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mchungaji Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule Ukerewe tusingesikia haya.

Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.

Hakika Nyerere aliona mbali sana
 
Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mch Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule ukerewe tusingesikia haya. Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.

Hakika nyerere aliona mbali sana
Hujakosea umepata. Jamaa zetu hawa ukabila ni tatizo sana. Akiguswa mtu wao utaona wanatetea makosa na uvunjifu wa sheria au taratibu. Haki na ukweli hauna maana ila kile alichofa mtu wao ndio haki na taratibu.
 
Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.
Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.
Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mch Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule ukerewe tusingesikia haya. Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.

Hakika nyerere aliona mbali sana
Hii nchi misingi ya utaifa wetu inazidi kumomonyoka kwa kasi sana. Badala ya watu kujikita katika kuzungumzia changamoto zilizopo za kitaifa, sasa wao hupoteza muda mwingi kuzungumzia udini, na ukanda, ukabila.

Kwa sasa siku haipiti pasipo kusikia uzi wenye lawama, dhihaka ama kejeli kwa Wasukuma ama Wachaga. Badala ya watu kujiongeza na kupunguza umbumbumbu utokanao na "perception errors", wao huendekeza tu ujinga huo.

Akifanya kitu kibaya mtu wa kanda ya Ziwa, basi wao hukazia kuwa ni tabia ya Wasukuma, hali kadhalika hutokea hivyo kwa Wachaga. Badala ya kuangalia mapungufu ya mtu kwa hali ya mtu binafsi, wao hufanya "attribution" kwa kabila fulani aima ama mkoa anapotoka.

Ukisikia chuki za kikabila basi huanza kutokana na hisia ama mawazo finyu kama haya. Ni vyema watu wakapandisha nyuzi ambazo ndani yake zinafikirisha na kuchochea mawazo chanya, Watu makini hupenda nyuzi zilizo na maudhui na mantiki mzuri, na pia zinazojielekeza katika muktadha mpana, na pia wenye kujali maslahi mapana ya taifa letu.

Ndiyo! Ni kweli tunao uhuru wa kutoa mawazo, lakini uhuru huu usitumike vibaya. Ni vyema ukiwa kama fanani mwenye kujali hisia za wengine, ni lazima ujiulize mara mbili mbili kuhusu kile ambacho unataka kuiambia hadhira, kabla ya kupandisha uzi uliosheheni chuki za kikabila.

Sote tuone fahari kuzaliwa na kuishi nchini kama Watanzania. Tunatambua tuna asili za makabila tofauti, lakini tusitumie kabila zetu kuwasema vibaya wale ambao wanaonekana si wa asili sawa na sisi. Kila mtu asifiwe ama kushutumia kama mtu binafsi na wala si kwa kabila lake ama kwa mkoa anaotoka.
 
Unaweza kufikiri ni watanzania wote ndio wapo upande wa Mch Kimaro. Ukweli ni kwamba jamaa zetu hawa wa Kilimanjaro ndio wanaoongoza kupiga propaganda kwenye mitandao huko.

Na kwa vile wametapakaa kila sehemu kila kona basi nikueneza tu kuwa Kimaro ni mtu safi na kwamba KKKT inamuonea tu.

Hawa jamaa kila anapoguswa mtu wa kwao hata kama amekosea basi watapiga kelele sana. Nina uhakika Mchungaji Kimaro angekuwa ni Mkara wa kule Ukerewe tusingesikia haya.

Fuatilieni popote kwenye mitandao au WhatsApp utaona wanaomtetea Kimaro asilimia 99 ni kina Mangi.

Hakika Nyerere aliona mbali sana
Kwamba Nyerere ndio SI Unit yako!?
 
Sema baadhi usitujumuishe wote
 
Hii nchi misingi ya utaifa wetu inazidi kumomonyoka kwa kasi sana. Badala ya watu kujikita katika kuzungumzia changamoto zilizopo za kitaifa, sasa wao hupoteza muda mwingi kuzungumzia udini, na ukanda, ukabila.

Kwa sasa siku haipiti pasipo kusikia uzi wenye lawama, dhihaka ama kejeli kwa Wasukuma ama Wachaga. Badala ya watu kujiongeza na kupunguza umbumbumbu utokanao na "perception errors", wao huendekeza tu ujinga huo.

Akifanya kitu kibaya mtu wa kanda ya Ziwa, basi wao hukazia kuwa ni tabia ya Wasukuma, hali kadhalika hutokea hivyo kwa Wachaga. Badala ya kuangalia mapungufu ya mtu kwa hali ya mtu binafsi, wao hufanya "attribution" kwa kabila fulani aima ama mkoa anapotoka.

Ukisikia chuki za kikabila basi huanza kutokana na hisia ama mawazo finyu kama haya. Ni vyema watu wakapandisha nyuzi ambazo ndani yake zinafikirisha na kuchochea mawazo chanya, Watu makini hupenda nyuzi zilizo na maudhui na mantiki mzuri, na pia zinazojielekeza katika muktadha mpana, na pia wenye kujali maslahi mapana ya taifa letu.

Ndiyo! Ni kweli tunao uhuru wa kutoa mawazo, lakini uhuru huu usitumike vibaya. Ni vyema ukiwa kama fanani mwenye kujali hisia za wengine, ni lazima ujiulize mara mbili mbili kuhusu kile ambacho unataka kuiambia hadhira, kabla ya kupandisha uzi uliosheheni chuki za kikabila.

Sote tuone fahari kuzaliwa na kuishi nchini kama Watanzania. Tunatambua tuna asili za makabila tofauti, lakini tusitumie kabila zetu kuwasema vibaya wale ambao wanaonekana si wa asili sawa na sisi. Kila mtu asifiwe ama kushutumia kama mtu binafsi na wala si kwa kabila lake ama kwa mkoa anaotoka.
Na mimi nimeliona hilo,huu ni ujinga tu,magufuli akitukanwa watu wanasema umetukana wasukuma,
 
Back
Top Bottom