Wachagga: kabila kwenye maeneo 15

cerengeti

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,878
1,622
Kabila ni moja , lenye maeneo 15.

1.Kibong'oto
2. Masama.
3. Machame.
4. Kibosho.
5. uru.
6. Moshi.
7. Vunjo.
8. marangu.
9. kilema
10. Mamba
11. mashati.
12. Useri.
13. Mkuu
14. Mwika.
15. Keni.


Wachagga wanaendeshwa na baraza la wachagga (chagga supreme council).


f83a4183d1f8751d727ee72f23c6041d.jpg



wachagga walikuwa na mangi mkuu

5dfcb58404b5d62e498c8f403eefa816.jpg


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Muda sio mrefu utaambiwa au kuitwa mkabila,si unajua mnavyoogopwa?
 
Kulikuwaga na wimbo wa Taifa wa wachaga.Mkoloni alitaka kuwapa uhuru wachaga vile ni progressive people pengine Kilimanjaro kungekuwa kama nchi ya Lesotho

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mbona Ilala Temeke Kigamboni kinondoni ubungo Kibamba hujataja? Ila Wachanga wametapakaa kila kona kama Wahindi
 
Mkuu,
Mashati, Useri na Mkuu ni moja! Na Marangu na Mamba ni moja.Wachagga ni vijikabila 12 ndani ya kabila 12,kama Waisraeli
 
Kabila ni moja , lenye maeneo 15.

1.Kibong'oto
2. Masama.
3. Machame.
4. Kibosho.
5. uru.
6. Moshi.
7. Vunjo.
8. marangu.
9. kilema
10. Mamba
11. mashati.
12. Useri.
13. Mkuu
14. Mwika.
15. Keni.


Wachagga wanaendeshwa na baraza la wachagga (chagga supreme council).


f83a4183d1f8751d727ee72f23c6041d.jpg



wachagga walikuwa na mangi mkuu

5dfcb58404b5d62e498c8f403eefa816.jpg


Post sent using JamiiForums mobile app
Mimi sio mchagga ila utashangaa mijitu inavyo chukia hili kabila bila sababu watakuja makashfa kibao na hoja za ajabu ajabu but all in all wachagga wapo juu na miti yenye matunda ndo huandamwa na mawe subiri waje...

Post sent using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom