Nimeshangazwa na taarifa kuwa takribani wanawake wote wa kichaga wamekeketwa. Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa watu wanne ambao ni wachaga na wanawake. Wao pia wamekiri kuwa wamekeketwa ila tangu wakiwa wadogo.
Je, ni kweli kuwa ukeketaji uanendelea kimya kimya katika makabila mengi TZ? Je hii ndo sababu ya hawa jamaa kudaiwa kutojua mambo?
Tujadili.